SIMBA WAGOMEWA KUCHEZA AZAM COMPLEX

Bodi ya Ligi TPLB, imekataa maombi ya Simba SC ya katakana kuutumia uwanja wa AZAM COMPLEX, kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Coastal Union ya Tanga.

Simba SC imeomba kuutumia uwanja wa AZAM COMPLEX kwa ajili ya wachezaji wao kuuzoea uwanja huo watakaoutumia kwenye mchezo wao wa marudiano ya CAF Champions League dhidi ya Power Dynamos.simbaInaelezwa Bodi ya ligi TPLB imewataka Simba SC kuendelea kuutumia uwanja wa uhuru kwasababu ndio uwanja ambao wameuchagua kuutumia kama uwanja wao wa nyumbani baada ya Benjamin Mkapa kuwa kwenye Ukarabati.simbaSimba SC lengo lao ni kuwafanya wachezaji wao wauzoee uwanja wa AZAM COMPLEX ambao watautumia oktoba mosi dhidi ya Power Dynamos.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.