PACOME ZOUZOUA ASAINI MIWILI YANGA

TAARIFA za uhakika ambazo Meridian Sports imezipata kutoka ndani ya Yanga ni Kwamba, kiungo wao raia wa Ivory Coast Pacome ZouaZoua ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

 

Pacome ambaye mkataba wake ulikua unafika ukomo mishoni mwa Msimu Ujao, amefikia hatua hiyo baada ya kuona mipango mizuri ya Yanga na kuboreshewa maslahi yake.PACOME“Ni kweli tumemuongezea mkataba mpya wa kuendelea kuichezea YANGA, amepewa mkataba wa miaka miwili na kuboreshewa maslahi yake.

 

“Siku yoyote kuanzia Sasa tunaweza kutoa taarifa Rasmi juu ya suala Hilo,” alisema mtoa taarifa huyo.PACOMEKwa upande wa Ali Kamwe yeye alisema: “Hakuna Mchezaji mzuri ambaye ataondoka YANGA ikiwa bado anahitajika.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.