MUTALE AITAKA JEZI YA CHAMA SIMBA
Makala iliyopita
Juventus Inatumai McKennie Ataikubali Fenerbahce ya Mourinho
Mutale ameomba jezi hiyo Ili kurithi mikoba ya Chama ambaye inatajwa kuwa Maisha ndani ya Simba yamefikia mwisho.
Meridian Sports ilifanya jitihada za kumtafuta Mutale Kwa njia ya simu, lakini muda mwingi simu yake ilikuwa ikitumika na ikafika wakati ikawa hapatikani kabisa.