PSG Yaichapa Chelsea na Kutinga Robo Fainali kwa Jumla ya Mabao 8-2

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint Germain, wameivunja moyo Chelsea baada ya kuichapa mabao 3-0 katika mchezo wa marudiano uliopigwa Uwanja wa Stamford Bridge, na kufuzu kwa ushindi wa jumla wa mabao 8-2.

PSG Yaichapa Chelsea na Kutinga Robo Fainali kwa Jumla ya Mabao 8-2Chelsea waliingia uwanjani wakiwa na matumaini ya kufanya comeback ya kihistoria, lakini ndoto zao zilianza kufifia mapema baada ya Khvicha Kvaratskhelia kufunga bao la mapema kufuatia makosa ya safu ya ulinzi.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

PSG waliendeleza presha na kuongeza bao la pili kupitia Bradley Barcola, akimalizia shambulizi la kushtukiza baada ya Chelsea kupoteza mpira katikati ya uwanja.

PSG Yaichapa Chelsea na Kutinga Robo Fainali kwa Jumla ya Mabao 8-2Licha ya juhudi za Chelsea kurejea mchezoni, walikwama mbele ya kipa Matvei Safonov ambaye aliokoa michomo kadhaa hatari kutoka kwa João Pedro na Cole Palmer.

Kipindi cha pili, PSG walithibitisha ubora wao baada ya Senny Mayulu kufunga bao la tatu, akimalizia shambulizi jingine la kushtukiza na kuzima kabisa matumaini ya Chelsea.

PSG Yaichapa Chelsea na Kutinga Robo Fainali kwa Jumla ya Mabao 8-2Matokeo hayo yameifanya PSG kusonga mbele hadi robo fainali huku wakiendelea na rekodi nzuri dhidi ya timu za England, wakati Chelsea wakizidi kuporomoka kwa matokeo mabaya pamoja na kuandamwa na majeraha ya wachezaji wao.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.