Michuano ya tenisi ya Indian Wells inaendelea kupamba moto huku baadhi ya washiriki wakitoboa kuingia raundi ya tatu ya michuano hiyo. Serena Williams ameweza kumlaza chali mpinzani wake.
Serena Williams Amemchapa aliyekuwa bingwa namba 1 duniani wa tenisi Victoria Azarenka ili na kutoboa kufikia raundi ya tatu katika michuano hii.
William ameweza kumchapa mpinzani wake kwa seti ya 7-5 6-3 kufikia hatua inayofuata ikiwa ni michuano yake ya kwanza kushiriki toka aliposhiriki Australian Open ambako alitoka katika hatua ya robo fainali.

Williams ametumia masaa mawili na dakika kadhaa kuweza kumshinda mpinzani wake huyu.
Kwingineko Indian Wells
Johanna Konta
Johanna Konta naye amemtandika Mtaiwani Hsieh Su-Wei kwa seti ya 6-0 6-2.
Wawrinka
Wawrinka ambaye ni bingwa mara tatu wa Grand Slam alikuwa kwenye mapambano makali dhidi ya Evans ambaye anatajwa kuwa namba tatu kwa ubora. Evans ametandikwa kwa seti ya 6-7 (4-7) 6-3 6-3
Wawrinka
Stefanie Vogele
Naye Sloane Stephens amekubali kichapo cha seti 6-1 6-3 kutoka kwa Stefanie Vogele.
Stefanie Vogele

Povel
Habar njema