Klabu ya Korea Yashangiliwa na Midoli!

Gemu bila mashabiki imekuwa kimbembe sana! Ladha ya uwepo wa mshabiki halisi huwapa msisimuko na hamasa wachezaji. Kutokana na janga la lililoikumba dunia, vilabu vimelazimika kucheza mechi kwenye viwanja vitupu, mpango ambao unatarajiwa kutumika na ligi zote zitakazoendelea hivi karibuni. Midoli imetumika kama mbadala sasa kule Korea!

Klabu ya soka ya FC Seoul waliamua kutumia midoli kujaza viti vitupu vya mashabiki uwanjani. Lengo la klabu hii inayoshiriki Ligi Kuu ya Korea (K-League) ilikuwa ni kuweka mazingira fulani ya uwepo wa mashabiki. Sauti za kutengenezwa na midoli inayofanana na watu halisi ikawekwa uwanjani.

Mechi ilikuwa ya FC Seoul dhidi ya Gwangju FC, Machi 17

Klabu ya Korea Yashangingilwa na Midoli!
Midoli ikiwa imepangwa mfano wa mashabiki na mabango.

Hata hivyo kumekuwa na tafsiri tofauti ya matumizi ya midoli hiyo, baadhi wakiwatuhumu kuwa wmetumia midoli inayotumika kama mbadala wa wapenzi na watu wazima.

Klabu ya Korea Yashangingilwa na Midoli!
Mashabiki midoli, FC Seoul

Kutokana na tasfiri tofauti, klabu ya FC Seoul walitoa tamko la kuwaomba radhi washabiki wao kuwa hiyo haikuwa nia yao. Nia yao njema ilikuwa ni kupata mfani wa mashabiki na kuweka mazingira ambayo yatawatia moyo wachezaji wasihisi kuwa sehemu nyingine kabisa zaidi ya dimbani walipozoeas kukiwa na kelele na mashabiki.

43 Komentara

    Daaah! Hii hatar

    Jibu

    Duuu wametisha#Meridianbettz

    Jibu

    Kila league inatengeneza mfumo wakufanya league yake izidi kupendwa…hii ya korea kalii

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Safi sana Korea, nadhani league zingine wanajambo la kuiga hapa kutoka kwenu ili kuleta hamasa kwa wachezaji wakiwa uwanjani.

    Jibu

    Ni ubunifu lakini sio sawa. Mashabiki halisi wanaleta hamasa kwa wachezaji#Meridianbettz

    Jibu

    daa hii kali sasa

    Jibu

    aàaah aaah aàaah corona itakoma mwaka huu tumejipangaa

    Jibu

    Duuu sio kwa midoli hiyo

    Jibu

    Wametishaa

    Jibu

    Duuuh balaa zito midoli tenaa🙄

    Jibu

    Hinatakiwa kuwaliwaza sana wachezaji so bado wanakipindi kigumu sana hadi wakija kuzoea si leo hata kama kuna mawazo mengine yatolewe ususani na midoli..!wafanyiwe tu ili wafurahi nafsi zao..!

    Jibu

    Da ubunifu waloufanya unafurahisha sana

    Jibu

    Ni ubunifu haswa

    Jibu

    Ni ubunifu mzuri Ila mashabiki wanaleta amasa

    Jibu

    Good idea #meridianbettz

    Jibu

    Ubunifu uliofanya na korea nimeupenda sana mana kwa wachezaji inawatia nguvu hata kama hawapati kile kilicho halisi

    Jibu

    Niubunifu wali yajuu

    Jibu

    Wametumia akili ya zidaa

    Jibu

    inawatia nguvu hata kama hawapati kile kilicho halisi#meridianbettz

    Jibu

    Mhmh,hatari sana

    Jibu

    Du wametisha lakini bado je kwenye ushangiliaji wa mashabiki inakuwa vp

    Jibu

    Duuh!wametumia akili sana kuweza kuchangamsha wachezaji wao inapendeza.

    Jibu

    Noma sana akili ya ziada imetumika

    Jibu

    Midol sio poa kabsaa

    Jibu

    Iyo ni baraa

    Jibu

    Duu iyo kari

    Jibu

    Duuh corona noma..

    Jibu

    mmetisha Korea na wengine waige kupitia nyie

    Jibu

    Wazo zuri Sana korea nawapongeza maana raha ya mpira vibes liwe la kutosha

    Jibu

    Ha Ha Ha Ha hii corona hii imetunyoosha

    Jibu

    Safi Korea

    Jibu

    Wamenifurahishaa kwa kweli na hiyo midolii ilivyokalishwa na kuvalishwa utazani washabiki wa ukweli

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Kwel nmeamini hakuna km corona duniani.

    Jibu

    Daaaah hatari sana

    Jibu

    Daaaah hatari sana

    Jibu

    Wametumia akili za ziada

    Jibu

    wamefanya vizuri kama midoli hiyo itapiga kelele basi watakua vema zaid

    Jibu

    Hii kali mashabiki wanakuwa na hamasa kubwa kwa wachezaji

    Jibu

    Safi sana corea

    Jibu

    Safi sana korea

    Jibu

    Hatari

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.