Kagere Arejea Nchini

Mshambuliaji wa Simba Sports Club Meddie Kagere amereje leo nchini ikiwa siku mmoja kabla ya siku ya kuingia kambi. Klabu ya Simba ilitangaza kuwa ifikapo Jumatano timu itaingia kambini huku wachezaji wa kigeni walioruhusiwa kurudi nchini kwao wakisubiriwa.

Kagere ameingia nchini leo mchana akitokea kwao Rwanda ambapo alienda kwaajili ya mapumziko baada ya Ligi ya VPL kusimama kwa sababu ya Corona.

Ikumbukwe mwezi wa tatu Waziri Mkuu alisimamisha shughuli zote za mikusanyiko ikiwemo michezo baada ya hofu kusambaa kwa virusi hivyo.

Wachezaji wa Simba waliokuwa nje ya nchi ni Kahata, Chama, Shiboub na Kagere.

Makala iliyopita

36 Komentara

    mzee wa jicho keshafika anata kuchungulia

    Jibu

    Karibu MK14#meridianbettz

    Jibu

    Ajipange kama alikuwa karantini mazoez hakuna ajue yanga kila mchezaji hatar

    Jibu

    Ni Bora alivyorejea mapema ili ajiandae vizuri

    Jibu

    Karegeee is back#meridianbettz

    Jibu

    Kageree

    Jibu

    Ni habar njema kwa mashabiki na wapenz wa Simba thnks meridian kwa update

    Jibu

    Habari njema Sana kwa sisi mashabiki wa Simba sports club
    #meridianbet

    Jibu

    Kagere mnyama anan’gata tu( karibu)

    Jibu

    Mambo soon yanakaribia kurejea tena VPL

    Jibu

    Karibu tena Tanzania

    Jibu

    Karibu Tena Tanzania kagele

    Jibu

    Karibu tena nyumbani

    Jibu

    Kagereee

    Jibu

    Karibu sana kipenzi changu 😘😘😘😘

    Jibu

    Meddy mtu mbaya

    Jibu

    Hivyo vitisho tu simba wanajiami..!

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Mambo yanakaribia kupendeza

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa soka

    Jibu

    Karibu sana kaka

    Jibu

    Kagele karibu sana

    Jibu

    Kagele karibu Tanzania

    Jibu

    Karibu kagere wetu👍🤦

    Jibu

    Yanga wakimuona huyu wanachanganyikiwa#Meridianbettz

    Jibu

    Karibu tena

    Jibu

    mmmmh hana lolote mjanja mjanja tu

    Jibu

    Karibu sana TZ

    Jibu

    Kagereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!! Heheheheheheheheheeeehheheehehe tilimisi sana hizi keleleeeeeeeeee

    Jibu

    Mk 14 tunamsubili tumshuhudie

    Jibu

    kagere mtu mbaya piga kaz braza wa TZ wamekuelew

    Jibu

    Kagere karibu nyumbani .

    Jibu

    Karibu nyumbani kagere tulikumic sana#meridianbettz

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa simba

    Jibu

    Kama namuona manara anavyo tabasamu

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.