Chelsea Wamtaka Corona

Imeripotiwa Chelsea wana mpango wa kumsajili nyota wa Porto, Jesus Corona kama watashindwa kupata saini ya Jadon Sancho.

Blues wameshindwa kumshawishi Willian kubaki wakati mkataba wake unaenda ukingoniw na Frank Lampard amemuona kinda wa Borussia Dortmund, Sancho ni mbadala sahihi kwake kipindi hiki cha majira ya kiangazi.

Japo, Chelsea wamelazimika kuingia sokoni kutafuta mbadala wake, ikiwa Manchester United wapo kwenye nafasi nzuri ya kukamilisha dili la kinda wa kimataifa wa Uingereza.

Mchezaji wa Bayer Leverkusen,  Kai Havertz amehushiwa kutua Stamford Bridge kwa wiki kadhaa ni mmoja ya washambuliaji wenye uwezo mkubwa ambae anawaniwa na miamba hiyo ya Premier League.

Winga wa Porto, Corona amekuwa mbadala wa Chelsea kama watamkosa Sancho.

Corona amefunga magoli mawili na kusaidia saba  kwenye Ligi ya Ureno msimu huu, mchezaji huyo ni mbadala nafuu wa Sancho wakati Porto wakihitaji £26million kumuuza.

Japo, Chelsea wanaweza kupata ushindani kutoka kwa Inter Milan na Sevilla ambao nao wanahitaji huduma ya straika huyo wa Mexico.

53 Komentara

    habar nzuri

    Jibu

    Corona ni hatari sn

    Jibu

    sancho Chelsea itawaladhimu walipe pesa nyingi sana kama watahitaji sign yake

    Jibu

    Hilo jina litamupa umaarufu kuliko uwezo wake#meridianbettz

    Jibu

    Japo anajina la Kik ila uwezo pia anao corona mshambuliaj mzur

    Jibu

    Wamchukue atawafaa sana

    Jibu

    Itakuwa poa sana wamkimpata corona

    Jibu

    Hilo jina litampa umaarufu Sana atajulikana Kama ilivyojulika corona yenyewe

    Jibu

    Corona inatisha sana

    Jibu

    Daaah William kuondoka Chelsea hii ni hatari kama watapata saini ya mchezaji Sancho basi itakuwa safi kabisa

    Jibu

    Duuuh ili janga ni hatari sana

    Jibu

    Asante kwa habari nzuri za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Corona inatisha

    Jibu

    Welcome to Stamford bridge #meridianbettz

    Jibu

    Habar njema thnks meridian bet kwa update

    Jibu

    Wamchukue yupo vizuri Sana ingawa jina lake linatutishia amani

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Jina lake linatisha

    Jibu

    Jina lenyewe corona wamchukue atakua hatari kama ugonjwa wenyewe

    Jibu

    Mmmmh!

    Jibu

    Tnx meridian kwa taarifa za kimichezo

    Jibu

    Duuh corona hatari

    Jibu

    Asante meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    Chelsea wataweza kweli

    Jibu

    Jina baba jina hilooo

    Jibu

    Corona ni jeshi wamchukue 👊🤸

    Jibu

    Corona yupo vzr tena ni mchezaji mahiri sana wamchukue tu

    Jibu

    Wamchukue CORONA jamaa anaupiga mwingi sana Sancho atakuja na pressure kubwa sana itampa shida

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Ahsante meridian kwa taarifa

    Jibu

    Chelsea bado kabisa sijilini watu wenye viwango timu hinashuka daraja..!korona yupo vizuri

    Jibu

    Corona inatisha jamani

    Jibu

    Corona anatisha kama corona yenyewe

    Jibu

    Ahsant meridian kwa habari njema

    Jibu

    Corona fundiii…chelsea wapande dau…

    Jibu

    Jamani kumbe corona ni noma sanaeh. Ila hilo jina watu watamaanisha ugonjwa kumbe limeanza na jesus corona jina la mtu.

    Jibu

    Hee! Kumbe corona ni jina la mtu

    Jibu

    duuuuh ndo kwanza najua leo kama kuna mtu anaitwa corona

    Jibu

    Hahaha noma sana

    Jibu

    Bado ni chaguo sahihi kwa Chelsea

    Jibu

    Corona asije Chelsea ataleta gundu na jina lake

    Jibu

    👍👍

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    corona kwenye ubora wake

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Mungu asaidie corona iishe.

    Jibu

    Wamchukue tu huyo jesus.

    Jibu

    Duuu noma sana

    Jibu

    Wanamtaka corona!!!jina tuu peke yake linatisha#meridianbettz

    Jibu

    hahaha ilo jina hatariii

    Jibu

    Jina kabali yao 😅😅😅😅😅

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.