Vandenbroeck ni Ngumu Kutwaa Kombe la FA

Kocha wa Simba amekiri ni ngumu kutwaa mataji mawili kwa msimu huu na maesisitiza atafanyakazi na wachezaji waliopo kama wachezaji wakigeni wakichelewa kurejea.

Kocha mkuu wa Simba SC, Sven Vandenbroeck amesema ni ngumu kushinda Kombe la FA kwani watani zao wanawinda taji hilo kwa lengo la kucheza Kombe la Shirikisho msimu ujao.

Mabingwa watetezi Azam FC na Yanga SC ni moja ya vilabu vinavyopambania kuiwakilisha nchi. Japo Mbeligiji huyo amekiri kuwa kushinda Ligi Kuu Tanzania Bara ni kipaumbele chao.

Vandenbroeck na Matola

“Nafasi ya kushinda Ligi ni kubwa tuna alama 17 zaidi ya nafasi ya pili  [Azam],” alisema Vandenbroeck.

“Tunahitaji ushindi kwa mechi nne kati ya kumi, lakini kwa Kombe la FA lazima tufanye jitihada za ziada kushinda. Bingwa wa Kombe anakwenda kushiriki mashindani ya Caf, kwahiyo timu zote zitaweka nia kwenye mashindano.

“Itakuwa ngumu kwani vilabu vinne vya juu bado vinashiriki mbio za kuwania taji hilo.”

49 Komentara

    kocha hana morali wachezaji hawawezi kuwa na morali

    Jibu

    Kila la kheri Simba#meridianbettz

    Jibu

    Vandenbroeck yuko sahihi kila la kher Simba # @#meridianbet

    Jibu

    Yanga atuwezi kulikosa kombe la FA afadhali kocha wa simba kajitoa mapema

    Jibu

    Kocha Ana wachezaji

    Jibu

    Ukweli kauona kabisa kwamba hawawwzi kuchukua FA

    Jibu

    Kocha anawachezaji

    Jibu

    Kocha anaonaa mbalii

    Jibu

    Kocha Yuko vizuri sana

    Jibu

    Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usuni .yanga pambana simba wanaanza kuonyesha udhaifu wao wa kutegemea watu wa sio kuwepo.

    Jibu

    Ni kwl fA ni ngumu kila hatua timu znajipanga kwl thnks meridian kwa update

    Jibu

    Kila la kheir Simba

    Jibu

    Vizuri kwakulijua hilo

    Jibu

    Kocha yupo sawa

    Jibu

    Coach mzuri Sana uyu namkubal

    Jibu

    Mpila ni kama mbio za wendaazim, unashangaa kweli mechi nne zilizobaki asishinde

    Jibu

    Kocha mbona ujiamin!Simba ni timu kubwa# meridianbettz

    Jibu

    Kocha kaona mbali kwa FA wajipange sana

    Jibu

    Muoga uyo

    Jibu

    Mdomo umeumbiwa kusema ila matokeo yote ni baada ya mpira kuchezwa na ndo kila kitu kitajieleza

    Jibu

    Coach nzuri sana

    Jibu

    Ni bora alivyojua mapema wawaachie wengine

    Jibu

    Dalili ya mvua mawingu bhana..!simba hawana chao

    Jibu

    Kocha mzuri huyo

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    All the best kwao

    Jibu

    Kocha yupo vizur

    Jibu

    Kila la kher kwa Simba Sport Club

    Jibu

    Kauli za kutoa pressure kubwa wachezaji …big IQ

    Jibu

    kocha yuko bombaa

    Jibu

    Kocha yupo vizuri

    Jibu

    Simba juu zaidi

    Jibu

    Kocha mzuri#meridianbettz

    Jibu

    Kocha makini.

    Jibu

    Anatuvunja moyo#Meridianbettz

    Jibu

    Kocha yupo sahihi

    Jibu

    kocha mbona muoga uyo ajiamini

    Jibu

    Ni kukaza tu na sio kukata tamaa

    Jibu

    Simba mnyama atachukua tuuu

    Jibu

    Tusubili tuone

    Jibu

    Simba mnyama hashindw kitu

    Jibu

    Ndo wanatakiwa wajiamini na wafanye jitihada ili watwae kombe la FA.

    Jibu

    acha woga

    Jibu

    Kila la kheri simba

    Jibu

    Hatari.

    Jibu

    Kira laheri Simba/Meridian asanteni kwatarifa

    Jibu

    Kira laheri Simba

    Jibu

    Simba timu kubwa#meridianbettz

    Jibu

    mnyama

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.