Mchezaji Thiago Alcantara hakuwemo wakati klabu ya soka ya Bayern Munich inaumana na mahasimu wao wa jadi, Borussia Dortmund kwenye Der Klassiker.
Meridianbet inaangalia nani atakuwemo na nani hatokuwemo katika mechi tamu sana za wiki hii na leo tunaangalia za Jumatano.
Jumatano, 27 Mei
RB Leipzig vs. Hertha Berlin (inaanza saa: 6.30pm CEST/5.30pm BST/12.30pm ET)
Leipzig: Gulacsi – Klostermann, Upamecano, Halstenberg – Mukiele, Sabitzer (c), Kampl, Angelino – Nkunku, Werner – Schick
Nje: Konate (hamstring), Poulsen (kifundo cha mguu)
Wanaohofia: Ampadu (mgongo), Laimer (goti)
Kocha: Julian Nagelsmann
Hertha: Jarstein – Pekarik, Boyata, Torunarigha, Plattenhardt – Skjelbred, Grujic – Lukebakio, Darida, Cunha – Ibisevic (c)
Nje: Ascacibar (mguu), Kalou (hatokuwepo), Rekik (goti), Stark (nyonga), Wolf (hayupo fiti)
Wanaohofia: Kraft (majeraha)
Kocha: Bruno Labbadia
Hoffenheim vs. Cologne ((inaanza saa: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)
Hoffenheim: Baumann – Kaderabek, Posch, Hübner (c), Zuber – Rudy, Grillitsch – Skov, Geiger, Baumgartner – Dabbur
Nje: Belfodil (goti), Kramaric (kifundo cha mguu)
Wanaohofia: Adamyan (kifundo cha mguu), Stafylidis (misuli)
Kocha: Alfred Schreuder
Cologne: Horn – Ehizibue, Bornauw, Leistner, Katterbach – Skhiri, Hector (c) – Kainz, Uth, Jakobs – Cordoba
Nje: Risse (goti)
Wanaohofia: Hauptmann (nyonga)
Kocha: Markus Gisdol
Fortuna Düsseldorf vs. Schalke ((inaanza saa: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)
Fortuna: Kastenmeier – Ayhan, Hoffmann, Gießelmann – Zimmermann, Stöger, Morales, Berisha, Suttner – Karaman, Hennings (c)
Nje: Steffen (goti)
Wanaohofia: –
Kocha: Uwe Rösler
Schalke: Schubert – Kenny, Sane, Nastasic, Oczipka (c) – Caligiuri, McKennie, Schöpf – Matondo – Gregoritsch, Raman
Nje: Harit (ligament), Mascarell (nyonga), Todibo (kifundo cha mguu)
Wanaohofia: Serdar (mkono), Stambouli (hayupo fiti)
Kocha: David Wagner
Augsburg vs. Paderborn ((inaanza saa: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)
Augsburg: Luthe – Framberger, Jedvaj, Uduokhai, Max – Khedira, Baier (c) – Sarenren Bazee, Löwen, Richter – Niederlechner
Nje: Hahn (tendon)
Wanaohofia: Finnbogason (goti), Giefer (mguu), Iago (ameumia), Schieber (mguu), Vargas (kifundo cha mguu)
Kocha: Heiko Herrlich
Paderborn: Zingerle – Jans, Strohdiek, Schonlau (c), Collins – Vasiliadis, Gjasula, Sabiri – Pröger, Srbeny, Antwi-Adjei
Nje: Kilian (hayupo fiti)
Wanaohofia: –
Kocha: Steffen Baumgart
Union Berlin vs. Mainz ((inaanza saa: 8.30pm CEST/7.30pm BST/2.30pm ET)
Union: Gikiewicz – Friedrich, Schlotterbeck, Subotic – Trimmel (c), Gentner, Andrich, Lenz – Ingvartsen, Bülter – Andersson
Nje: Becker (paja)
Wanaohofia: Gogia (hayupo fiti)
Kocha: Urs Fischer
Mainz: Müller – St. Juste, Bruma, Niakhate – Baku, Barreiro, Latza, Martin – Boetius – Quaison, Mateta
Nje: Zentner (goti)
Wanaohofia: –
Kocha: Achim Beierlorzer



Gabriel
Bundasiliga imenoga tnx@# Meridianbet
David pere
Ni vya ushindi kabisa Yani bila wasiwasi
Evaluziga
Bunda siliga imenoga
Adelta
Bundesliga imenoga Sana thank#meridianbet
Povel
Duh kwl meridian baba lao thnks meridian kwa kutupa information za michezo na burudani
Antony Luseno
Good article #meridianbettz
Ester
Asante meridian
Magdalena
Bundesliga kunogire nakosaje kubeti
Tatu
Bundasiliga wapo vizuri
Samiah
Asanteee meridian kwataarifa
Ester mmakasa
Bundesliga ndo mpango siku iz vikose vyao vimepangiliwa vizuri sana.
Mwajuma
Mechi kama zote
Hamidu
Wazeee wakubet fursa ndo hiyo# meridianbettz
Carolyne
Vikosi makini
Amani
Mechi kama zote #meridianbettz
dorophina
Bundesliga imenoga mechi km zote
Rehema Dickson
Mambo ya bundesliga yametaradadi
Zeiyana iddi
Meridianbettz..! akuna kulala mechi bado zinaendelea
Agness
Mechi Kama zote
Elika
Hatimae tumerudi michezon sasa
Hope mwaikuka
Hapo ni sasa kuna balaa zito
Theonestina
Mambo bull bull
Swai
Ratibaa amekaaa poa sana
Neema hassan
Taarifa nzuri kwa wapenzi wa Kubeti#meridianbettz
Aziza mushi
Mambo ni Moto🔥
Emmy cleopa
Habar njema
Mwanaidi
Safi sana meridian
frank patrick
Nakosaje shure bet hapa sasa
aisha
Bundasiliga iko vizuri
Hidaya Mohammed
Asante meridian bet kwa taharifa
Genia Sikaluzwe
Ahsant sana meridianbet kwa taarifa
mwakalosi
hii safi
Neema juma
Hakuna kiporoo meridianbet kila siku mambo mazuri
Warda
Sawa tunasubilia hiyo Ratiba #Meridianbettz
Devotha
#meridianbettz ni nzuri sana
winfrida
bundesliga liga ya leo si mchezo lazima nipige pesa
Latifa juma mohamed
League ya bundesliga inazidi kushine.
Kenani
Iko poa sana
Ernest
Ngoja tuone kama ubabe utaendelezwa leo
Mwanahamisi
Mechi Kama zote
Shafii
Ubingwaa inapaswa ujipange kweli
Asha
Thnks kwa update
Samira
Uhondo wa mpira usio na kifani ndani ya meridianbet
Lombo
mambo bam bam
Salma
Mambo mazuri
Furahav
Hii iko poa.
Lydia Emmanuel Magoti
Hii iko poa
Khadija
Japokuwa kuna corona rakini meridian haukai bure mechi kama zote#meridianbettz
felister
mambo yametaradadi bundesliga
Asha
Bundesliga imenoga