Ni muda wa La Liga Santander 2019/20. Tulisubiri sana na hatimaye imeshawadia kwa sasa! Ligi Kuu nchini Hispania imeshakubaliana na vilabu ili kuanza mechi za ligi hiyo huku kukiwa na mechi ya El Gran Derbi kati ya Real Betis na Sevilla FC siku ya Alhamisi ya tarehe 11 Juni.
Muda wa kuanza mechi umetajwa ambapo La Liga imethibitisha kuwa tarehe za kuchezwa kwa mechidei 28 na ile ya 29 ya La Liga Santander 2019/20 ipo tayari. Michuano itaanza upya ifikapo siku ya Alhamisi ya tarehe 11 Juni kukiwa na El Gran Derbi kati ya Sevilla FC na Real Betis. Mechidei ya kwanza kwa muda wa miezi mitatu itaisha mnamo Jumapili ya tarehe 14 Juni kukiwa na mtanange kati ya Real Sociedad na CA Osasuna.
Kwa upande mwingine, mechidei 29 ya La Liga Santander itachezwa kati ya tarehe 15 Juni na 18. Levante UD na Sevilla FC watafungua mechi za wiki hiyo siku ya Jumatatu na kumalizika kwa mtanange mkubwa sana kati ya Real Madrid na Valencia CF mnamo siku ya Alhamisi.
Hapo juu ratiba inaonesha masuala ya hali ya hewa pia kwa mujibu wa AEMET (State Meteorological Agency). Tarehe za mechi zote huenda zikabadilika kutegemea na hali ya hewa.
Ratiba kamili hii hapa LA LIGA


Furahav
Haya sasa wazee wa mijamvi,muda wa kuvuna pesa ndio huu.
Neema juma
Habari nzuri sana .ni mda wa kukaa tayari kushuhudia mechi zinarudi uwanjani
winfrida
kama tunavoijua la liga magoli hua ni machache kwa leo opsheni ya 0-3, 0-2 na 12 ndio za pesa
Devotha
Starehe imerudi tena ni mwendo wa kubeti tu😀😀
Frank Patrick
Nao story zisiwe nyingi ianze tu
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Evaluziga
Tunasubili mechi kuingia uwanjani
Samiah
Mambo yasiwe mengi bc
Theckla
Ianze tu watu tuanze kufanya yetu
Elika
Hatimae soka linarudi dimbani.
Salma
Hatimae zimerejea
Emmy cleopa
Habar nzur sana hii
Hope mwaikuka
Kazi kwetu mashabik
Mwanaidi
Haya sasa tuanze kujilipua na meridan mna maoption kibao aisee hatutoki hapa
Antony Luseno
Marudiano kati ya Barcelona na real Madrid ndo hamu kubwa ilipo
Neema hassan
Habari njema kwa mashabiki..
Shafii
Safi Sana habari njema na meridianbet
David pere
Wababe wanarudi uwanjani hapa Sasa Kuna uhakika wa kupata mpunga wa maana
Zeiyana
Tunasubir kwa amu soka msimu mwengine..!
Christopher
Lionel Messi anarudi uwanjani pale Camp nou, tumesubr sana hatimae mda umefika
felister
tulisubiri kwa hamu hatimaye imerudia
Lydia Emmanuel Magoti
Wakati wakupata pesa ndio huu mwendo wa mikeka tuu sasa
amani
bora ligi ya laliga irudi tupige pesa na meridianbettz
Daniel
good article
Genia Sikaluzwe
Habari njema kwa wanasoka
Caroline
😘😘😘😘😘
Aziza mushi
Habari nzuri Sana 👍
Magdalena
Kazi ianze tupige mzigo wa pesa kubeti Kama kote na options Kama zote
Gabriel
Burudan ya kutosha # meridianbet
Povel
Habar njema kwa wazee wa majamvi na wapenzi wa la liga
dorophina
Bora burudani inarudi hii ndo kila kitu
Mwajuma
Itakuwa vyema sana maana tumekosa burudani ya soka kwa muda mrefu
Mwajuma
Raha sana hiyo siku nikifika maana tuliwamiss sanaa
Mwanahamisi
Bora burudani inarudi maana tumeimis sana
Kenani
Match Kali nazingoja hizi niangalie burdan
mathayo sonje
Hii El Gran Derbi kati ya Real Betis na Sevilla FC siku ya Alhamisi ya tarehe 11 Juni. ndio mzuka kamili wa ligi, hatatoka mtu hata kuangalia pembeni
Ernest
Ni mwendo wa kutupia tuu majamvi na La Liga Santander
mwakalosi
hapa ni battle la Madrid na Barcelona tu nani atkuwa bingwa huu msimu
Rehema Dickson
wanarudi uwanjani hapa Sasa Kuna uhakika wa kupata mpunga wa maana
Tahiya
Hatiyame mambo yanarudi hii sasa siyo ya kukosa
Rehema
Burudani ya kutosha meridianbet mko juu
Agness
Habari nzuri
Hamidu
Burudani imerudi Tena..wazeee wa kubet
Mpo! Fursa ndo hiyo.
Asha
Gud news
Theonestina
Haha Sasa tunakaribia kuvuna mahela
Latifa juma mohamed
Ni dakika, sekunde ,masaa wa kuangalia mechi zikirudi dimbani ,thante Sana meridian bet tz casino bomba kwa habari murua.