Vilabu vya Serie A vitacheza mechi mbili kwa wiki kwa mechi zilizosalia pale Ligi itakaporejea Juni 20.
Kutakuwa na mechi karibu kila siku Ligi itakaporejea mpaka siku ya mwisho Agosti 2.
Kuna mizunguko 12 imesalia na mechi nne za ziada zikiwemo.
Serie A itaendelea kwa mechi nne kwanza zilizohairishwa kutoka mzunguko uliopita kuanza na Torino vs Parma na Verona vs Cagliari, Juni 20.

Siku iliyofuata tutashuhudia Inter Milan wakiwakaribisha Sampdoria wakati Atalanta watakuwa wenyeji wa Sassuolo.
Juni 22 kutakuwa na mechi tatu ikiwemo vinara wa Ligi ya Serie A, Juventus wakiwakabili Bologna.
Nafasi ya pili Lazio, ambao wako alama moja nyuma ya Juve, watacheza mchezo wao siku mbili mbele ugenini dhidi ya Atalanta.
Juventus wataialika Lazio, Julai 20.


Devotha
Natamani kumuona Ronaldo akifunga bao dhidi ya lazio
Neema juma
Duuu itakuwa raha sana siku hiyo tunaisubiria kwa hamu
Frank Patrick
Safi kabisa kila siku mpira tu mda ushakuwa mweusii
Theckla
Tumemis sana
Mariam mtandama
Safi
Samiah
Ipo poa sanaa
Emmy cleopa
Iko vizur sana
Juliana
Irejee tu
Salma
Moto utawaka
Rehema Dickson
Safi kila siku mpira tu mda ushakuwa mweusii
Mwanaidi
Tuliisubiri kwa hamu sana asanteni kwa taarifa aisee
Antony Luseno
Mambo yanaanza kuwaka kwa ligi kurejea
Hope mwaikuka
Irud tu tuna hamu sana
Shafii
Mikeka kama yote inafata
Zeiyana
Tunasubir kwa amu michano juventus vs lazio..! bonge la mpambano
David pere
Wazee 3+ tutakuwa wanene muda so mrefu ,maana pesa hizoo
Adelta
Itakuwa Raha Sana tunamsubiri
David pere
Kishindo kiwepo kweli sio tunabeti then wanatuangusha
felister
safii
Ester mmakasa
Tunaisubiria kwa hamu na mbwembwe zote.
Caroline
I cant wait kumuona Ronaldo..
amani
itakuwa nouma sana ligi itakuwa na mikimiki sana
Sadick
Mbona Uhondo kwa kwenda mbele, hapa EPL, pale Bundesliga, kule Laliga na Serie A. Tunasubiri kuona kandanda safi#meridianbettz
Aziza mushi
Tulikuwa tunasubiri kwa Hamu .
Magdalena
Kandanda iyoo inakuja tunaisubiri kwa nguvu zote
Lydia Emmanuel Magoti
Yani tulikuwa boadi Sana yani nipo ziludi tukiwakishe Mambo mazuri
Gabriel
Habar njema# meridianbet
Povel
Habar njema kwa wapenzi wa Seria A na wazee wa majamvi
Mwajuma
Wateja kweli ili mambo yaende vizuri watu tupate bueudani
Kenani
Tunaisubiri kwa ham
mathayo sonje
tumemisi mambo ya fundi wa mpira CHRISTIANO RONALDO, ianze tuongeze mapato kupitia meridianbet online jamani.
Ernest
Itakuwa pouwa sana kuona Serie A nayo ikirudi kumalizia league.
mwakalosi
hii no weka tu weke na bandika bandua anyway wachezaji wajiandae maana kazi iliyombele yao ni nzito
Tahiya
Siyo kizembe tena ni mwendo wa kuandaa majavi ya kutosha na kuuaga umaskini
Rehema
Ni habari njema sana kwa wapenzi
Hamidu
Ni habari nzuri watu wa soka.
Asha
Guds new kwa wapenz wa cr7
Theonestina
Tunaisubir kwa hamu