Kocha wa LA Galaxy Guillermo Barros Schhelotto amesema kuwa Gonzalo Higuain lazima atarejea River Plate kama ataondoka Juventus msimu huu wa joto.
Meneja huyu anaamini kuwa Higuain atafuata moyo wake na kuamua kwenda River Plate.
Mabingwa hawa wa MLS, LA Galaxy walikuwa wakihusishwa na dili la kubadilishana wachezaji na Muargenitina huyu, lakini Barros Schhelotto anasema inaweza kuwa vigumu kumuona Higuain akiwa LA msimu ujao.
“Nani asingemuhitaji? Ningemuhitaji, lakini ni vigumu. Anaweza kubakia JUventus lakini kama akiondoka nadhani atachagua moyo wake ulipo. Nadhani atarejea River Plate” -Barros Schhelotto
Mkataba bwa sasa wa Higuain unafika tamati Juni 2021, na staa huyu wa zamani wa Napoli amekuwa akihusishwa na kuondoka Italia, akitajwa zaidi kurejea River Plate na pia uwezekano nwa yeye kuihamia DC United.
Kwa maneno Barros Schhelotto , ni wazi kuwa LA Galaxy pia wanatamani wangeinasa sahihi yake lakini ni ngumu, wanaona staa huyu hataweza kupatikana kwa kuwa moyo wake haupo kwao, River Plate.


Frank Patrick
Aende akawape motisha na vijana wa kwao Argentina wapambane zaidi waweze fika level zake
Furahav
Habari nzuri.
aisha
Barros schhelotto higuan yuko vizuri aende tuu liverpool
Ester jackson
Ni wazi kuwa LA Galaxy pia wanatamani wangeinasa sahihi yake lakini ni ngumu, wanaona staa huyu hataweza kupatikana kwa kuwa moyo wake haupo kwao, River Plate# meridianbettz
Juliana
Arejee tu
Salma
Afate hitaji la moyo wake
Samiah
Habari nzuri sana hii
Emmy cleopa
Habar njema
Neema juma
Duuu hii nayo taarifa mpya kuisikia#meridianbet
David pere
Kila mtu anakumbuka kwao ni vizuri Kama ataenda kumalizia soka lake kwao
Rehema Dickson
akawape motisha na vijana wa kwao Argentina wapambane zaidi waweze fika level zake
Mariam mtandama
Habari mjema
Mwanaidi
Hilo ni chaguo lake mwenyewe arudi au asirudi
Hope mwaikuka
Kazi kwake yy mwenyewe
Zeiyana
Asante kwa taarifa
Antony Luseno
Higuin atakuwa kaka kwa bwana wadogo wa riverplate
Shafii
Itakua safi Sanaa
Neema hassan
Asante kwa habari#meridianbettz
Theckla
Akabadili upepo
Christopher
Bora akamalizie soka nyumbani
Evaluziga
Ngoja akabadili upepi
Adelta
Habari nzuri
felister
afate nini moyo wake unachotaka
winfrida
Anaweza kubakia JUventus lakini kama akiondoka nadhani atachagua moyo wake ulipo#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Itakuwa poa sana
dorophina
Bora kurejea nyumbani
Caroline
Asante meridian kwa update
Genia Sikaluzwe
Habari njema
amani
Meneja huyu anaamini kuwa Higuain atafuata moyo wake na kuamua kwenda River Plate
Daniel
highly under rated striker
Gabriel
Abaki kwa mabigwa wa series A juve
Aziza mushi
Itakuwa poa tu akabadilishe upepo.
Magdalena
Arudia river plate panamfaa
Gabriel
Abaki kwa mabigwa wa series A juve
Povel
Bora arud nyumbani Kwan mkatah kwao mtumwa
Mwajuma
Yawezekana anampenda sana huyu mchezaji
Mwanahamisi
Habari njema
Kenani
Mmh mi naona kwenda pale sio sawa
mathayo sonje
kama akiondoka nadhani atachagua moyo wake ulipo, na ni wazi kuwa LA Galaxy pia wanatamani wangeinasa sahihi yake lakini ni ngumu, wanaona staa huyu hataweza kupatikana kwa kuwa moyo wake haupo kwao
Ernest
Gonzalo Higuain umri umekwenda sio vibaya kama ataenda malizia soka lake huko.
mwakalosi
huyu umri wake arejee tu kwao argentina tu
Tahiya
Kwa umri wake huo angeenda Juve kule ndio kwa wakongwe
Agness
Nihabari njema
Rehema
Ni Bora arudi nyumbani tu
Hamidu
Higuin bado ni mchezaji mzuri..kurudi nyumbani litakuwa Jambo la busara Sana
Asha
Higuain mchezaj mzur ni kitu kizur akastfu soka nyumbani
Theonestina
Wamuache afanye atakavyoopenda yeye