Arsenal wapo tayari kumpa ofa David Luiz ya mkataba wa mwaka mmoja, lakini baadhi ya vipengele lazima vipunguzwe.
Kocha wa Gunners, Mikel Arteta yupo tayari kumbakiza beki wakati 33,ambaye mkataba wake unamalizika Juni 30.
Wakala wa Luiz, Kia Joorabchian amsema kuna nafasi kubwa ya Brazili huyo atabaki Emirates na kwasasa kun mazungumzo ya mkataba mpya.
Luiz alijiungaq Arsenal kutoka Chelsea dirisha la usajili la Kiangazi kwa £8m na mkataba wenye thmani ya £130,000 kwa wiki na ulikuwa wa mwaka mmoja.

Lakini kwasasa Arsenal wamekumbwa na ukata kwasababu ya janga Corona.
Hii inamaana kuwa Arsenal watampa ofa Luiz kulingana na mechi atakazocheza na endapo makubaliano yakifikiwa na pande zote mbili kila kitu kitakuwa sawa.
Lakini Arsenala inatamani kumbakisha Luiz ambae amemshawishi Arteta kwa uwezo wake wa uongozi na uwezo wake dimbani na sasa anataka wampe mkataba mpyaq mapema..

Joorabchian amesema: “Anafuraha sana akiwa Arsenal. Ana mahusiano mazuri na kocha pamoja na Mkurugenzi wa michezo.
“Ana mahusiano mazuri na kila mtu klabuni, hadi wamiliki, anamheshimu kila mtu.


Frank Patrick
Mbona hawaeleweki hawa nao
aisha
david luiz yuko vizuri
Furahav
Luiz yuko vizuri sana,mana anajua kukaba.
Neema juma
Luiz baba laoo
Juliana
Luiz anajua kukaba kinyama
Ester jackson
Arsenala inatamani kumbakisha Luiz ambae amemshawishi Arteta kwa uwezo wake wa uongozi na uwezo wake dimbani na sasa anataka wampe mkataba mpya mapema##meridianbettz
Emmy cleopa
Luiz Yuko vizur
Salma
Kitu kizuri kuishi sehemu yenya amani na maelewano nakama arsenal ndo furaha yake bac atafanya mengi makubwa
Juliana
Luiz asalie tu,kwanza ana matatizo na mtu
David pere
Arsenal wanapenda Sana mteremko Ndio maana wanang’ang’ania kubaki naye
Hope mwaikuka
Luiz ni kibokoo
Mwanaidi
Aendelee kubaki tuu arsenal
Antony Luseno
Bora abaki adhiririshe ubora wake maan toka ahamie arsenal kiwango kimeshuka
Zeiyana
Arsenal wameshuka sana viwango bado wanaitaji washambuliaji kwenye timu yao..!
Shafii
Itakua poa caz wanatatizo la beki pia
Neema hassan
Luiz jembee.
Rehema Dickson
adhiririshe ubora wake maan toka ahamie arsenal kiwango kimeshuka
Adelta
David Luiz namkubali Yuko vizuri
winfrida
Arsenal watampa ofa Luiz kulingana na mechi atakazocheza na endapo makubaliano yakifikiwa na pande zote mbili kila kitu kitakuwa sawa.kwa arsenal ambao kwasasa awapo vizur kiuchumi
felister
habari nzuri kwa mashabiki wa soka
Ester mmakasa
Bora jamani kwasababu bado tunamuhitaji kila siku.
Caroline
David Luiz.endelea kuichezea chama kubwa arsenal
Genia Sikaluzwe
Jamaa huyu yuko vizuri
amani
Lakini kwasasa Arsenal wamekumbwa na ukata kwasababu ya janga Coro Arsenal watampa ofa Luiz ili awasidiae katika kikosi chao #meridianbettz
Aziza mushi
David luiz anajituma Sana namkubali yupo vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Anajua dogo huyo yupo vizuri
Magdalena
Luiz bado ana mchango mkubwa arsenal Ila hawaeleweki
Gabriel
David Luiz n beki mzur hvyo kama akiondoka arsenal angeacha pengo kubwa
Povel
Pongez kwake Kama atasaliah gunners
Mwajuma
Abaki awasaidie maana hawana beki nzuri pale
mathayo sonje
hizi taarifa kutoka majuu zinatuchanganya, ile offa ya kwenda monaco iliishia wapi?? au nini sababu ya yeye kuamua kubaki the gunnerz?
Kenani
Safi kabisa
dorophina
Luiz ni mchezaji mzuri sana bora ambavyo ajaondoka
Hidaya Mohammed
Habari njema kwa wapenzi wa arsenal
Ernest
Ni uamuzi mzuri kwa upande wa Arsenal, David Luiz atawasaidia sana japo kuna makosa madogo madogo
mwakalosi
huyu luiz muda wa kuondoka London umewadia
Tahiya
Ni mchezaji mzur na kulingana na uchumi kuyumba kutokana na ili janga la corona kablu nyingi kukwama kifedha Luiz baki Arsenal
Devotha
Luiz yuko vizuri sana
Mariam mtandama
Vizur
Rehema
Ni uwamuzi mzr kwa upande wa arsenal Luiz Ni beki mzuri sn
Agness
Luis jeshi
Hamidu
Ni mchezaji mzuri! Kwa arsenal wakimbakisha watakuwa wamefanya jambo la busara.
Asha
Luiz yupo vzr wambakishe tu gunners
Theonestina
Luiz anaujua Sana mpira
farida ahmadi
Habari njema Sana