Meneja wa Southampton, Ralph Hasenhuttl amekubali kusaini makubaliano mapya na klabu ya Southampton.
Mkataba wake mpya utamshuhudia akisalia klabuni hapo hadi mwaka 2024. Amekuwepo klabuni hapo tangia Disemba 2018 baada ya kumpokea Mark Hughes, ni takribani miezi 16 tangu alipochukua kibarua cha umeneja.
Meneja huyu alikabidhiwa timu ikiwa na hali mbaya, hasa wakiwa wametoka kupokea kichapo cha 9-0 dhidi ya Leicester.
Meneja huyu, mwenye miaka 52, raia wa Austria aliiambia tovuti ya klabu kuwa uamuzi huo umekuwa mwepesi kwake kuufanya kutokana na uhusiano ambao ameujenga na klabu.
“Tunathamini falsafa zinazofanana, na hii ni sehemu7 kubwa ya sababu ya mimi kutaka kusalia hapa, na ninatumaini tunaweza kushiriki pamoja nyakati za mafanikio zaidi huko mbeleni”
Southampton wamekalia nafasi ya 14 kuelekea muendelezo wa Ligi Kuu Uingereza, ambaye pia amewahi kuwa meneja wa RB Leipzig kule Bundesliga, ana matumaini kuwa wataweza kujikwamua kutoka katika hatari ya kushuka daraja, kwa sasa wapo pointi 7 kutoka kwenye mstari mwekundu.


Antony Luseno
Klabu inampa dhamana kubwa sana na natumai atawasaidia wasishuke daraja
Neema hassan
Pongezi kwake..
Salma
Uwenda mambo yakawa mazuri kwa upande wao
Hope mwaikuka
He deserve
Shafii
Yuko vizuri huyo kocha
Mwanaidi
Duuh anazidi kula donge nono kuongezewa mkataba kwake ni jambo zuri sana
Zeiyana
Tunatumaini matokea yatabadilika upande wao
David pere
Yes ni vizuri Sana kupewa mkataba mpya
Theckla
Hongera kwake
Christopher
Sema kile kipigo cha liverpool kitamfanya asiwe anapata usingiz mzur
Rehema Dickson
anazidi kula donge nono kuongezewa mkataba kwake ni jambo zuri sana
aisha
hongera kwake hasenhuttl
Adelta
Pongezi kwake
Ester jackson
Meneja huyu alikabidhiwa timu ikiwa na hali mbaya, hasa wakiwa wametoka kupokea kichapo cha 9-0 dhidi ya Leicester ilikuwa ni hatari sasa abadilishe mtazamo wa mashabiki
felister
pongezi kwake
winfrida
Meneja huyu, mwenye miaka 52, raia wa Austria anaweza kuwafanyia makubwa southampton pia kupewa mkataba itamfanya kufanya kazi kwa juhudi#meridianbettz
Ester mmakasa
Hongera sana kwake
Aziza mushi
Pongezi kwake.👏
Sadick
Southampton wamenikumbusha wimbo wa Vanessa Williams wa Save the best to last#meridianbettz
Genia Sikaluzwe
Pongezi zake nyingi
Caroline
Hassen nampenda jmn
dorophina
Natumaini atawaongoza vizuri na kuwapandisha daraja
amani
Mkataba wake mpya utamshuhudia akisalia klabuni hapo hadi mwaka 2024.pia ataisaidia sana timu maana ni kocha mzuri #meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri huyo kocha
Magdalena
Mchango wake ni mkubwa Sana southampton
Gabriel
Habar njema sana kwake
Furahav
Hongera sana.
Emmy cleopa
Habar njema kwake
Povel
Habar njema kwa wapenzi na mashabiki wake kila la heri kwny jakumu ya kazi
Mwajuma
Ni muda mwafaka kwa kuongezwa mkataba mpya
mathayo sonje
hiyo ndio faida ya kufanya vema au kua na mafaniko mahali, kwa sababu kama angeharibu ilikua ndo byebyeee hiyo
Mwanahamisi
Hongera kwake
Kenani
Kapata shavings
Hidaya Mohammed
Hongera zake
Ernest
Ralph Hasenhuttl ni Kocha mzuri, nadhani wachezaji wanahitaji kumuunga mkono ili kuifikisha timu mbali, Kila la kheri Hasenhuttl.
mwakalosi
sidhani kama mtu sahihi pale Southampton
Mariam mtandama
Kocha mzur sana
Elika
Kocha yuko vizur sana
Neema juma
Huyo kocha anastahili kupewa pongezi zake yuko vzr na pia atawaongoza vzr
Samiah
Anastahili pongezi nyingi
Tahiya
Ni bahati iliyoje kuaminiwa ongera sana
Devotha
Anastahili mkataba huo kwa sababu ni kocha mzuri na anawafaa sana Southampton
Evaluziga
Ni habari njema sana kwetu
Rehema
Hii ni habari njema kwa wapenzi na mashabiki wake kwa kweli mungu akubariki
Warda
Hasenhuttl amejitahidi sana kwa Kweli kuisogeza timu#Meridianbettz
Agness
Ni kocha mzuri Sana
Juliana
Habari njema kwa mashabiki
Hamidu
Amestahili kuongezewa mkabata ni mmoja wa wachezaji wenye kipaji
Hamidu
Ni kocha mzuri! Amestahili kuongezewa mkataba
Asha
Hongera kwake Kila la kheri
Frank Patrick
Kocha mzuri kwa vipaji vinavyochipukia
Theonestina
Makofi kwake
Isaya massawe
Pongez kwake
#meridianbettz