Benfica Yashambuliwa

Wachezaji wawili wa Benfica wamepelekwa Hospitali baada ya basi la timu kushambuliwa baada ya mechi yao ya kwanza bila mashabiki.

Mjerumani, Julian Weigl na Mserbia, Andrija Zivkovic walipigwa na vitu vyenye ncha kali na walipelekwa hopsitali kwa tahadhari.

Julian Weigl

Mabingwa wa Ureno Benfica wamekosa nafasi ya kuwakaribia wapinzani wao Porto juu ya msimamo baada ya kupata sare ya 0-0 dhidi ya Tondela.

Mashabiki walijitokeza nje ya uwanja kushabikia timu yao nje ya uwanja wa Benfica, Estadio da Luz.

Shambulio lilitokea wakati wakitoka uwanjani na kwenda kwenye uwanja wa mazoezi.

“Benfica walitangaza majeruhi wa shambulio hilo walikuwa ni wachezaji,” ilisomeka taarifa kutoka Benfica.

“Tutatoa ushirikiano na mamlaka husika kuwatambua walihusika kwenye shambulio hili.”

 

47 Komentara

    Jamani! Pole yao daa #Meridianbettz

    Jibu

    Pole yao bwana

    Jibu

    poleni sana ndo kutafuta uko ajali kazini

    Jibu

    Hii haijakua sawa, korona haujaisha majanga mengine yanaongezeka. Poleni sana.#meridianbet

    Jibu

    Yani hasina za kutoingia uwanjani wamezimalizia kwa wachezaji kweli wametisha

    Jibu

    Jamani mungu awasimamie wapone warudi kazini.

    Jibu

    So sad

    Jibu

    Dan! Pole kwao

    Jibu

    SO SAD🙏🙏🙏🙏

    Jibu

    Mchezo wa mpira wa miguu unatuunganisha watu wote duniani so vitendo vya kihuni havikubaliki kabisa. Pole kwa sana kwa wachezaji na timu nzima ya Benfica#meridianbettz

    Jibu

    hiki kitendo sio cha kimichezo kabisa

    Jibu

    Duub sio poa kabisa

    Jibu

    So sad👏👏👏

    Jibu

    Duuh poleni sana bengica huo ndio mpira

    Jibu

    Pole sana kwao ila kwa kitendo hichi ilibidi shabiki ata mmoja awajibishwe kwa tukio hili

    Jibu

    Pole kwa wachezaji na wachukuliwe sheria na sisi mashabiki tuvumilie kutokana na janga hili la corona tufuate maelekezo ya wataalamu wetu wa afya

    Jibu

    I feel sorry for them

    Jibu

    Game ilikiwa kali sana#meridianbettz

    Jibu

    Awapa pole sana kwao ila kwa kitendo hichi ilibidi shabiki ata mmoja awajibishwe kwa tukio hili

    Jibu

    Duuh pole zao

    Jibu

    Hii mechi ulikuwa hatari

    Jibu

    polen sana hii inaitwa ajali kazini

    Jibu

    SAD🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

    Jibu

    Beki mzuri..kwa Chelsea watakuwa wamelamba dume.

    Jibu

    Vyombo vya Dola vinatakiwa kufanya kazi, ni jambo LA aibu sana

    Jibu

    Mashabiki wengine kweli hawapendi timu yao ifungwe Ndio maana wamekuwa na hasira mpaka wakawashambulia wachezaji

    Jibu

    Pole yao watapona tu

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Habar ya kusikitisha sana MUNGU awasaidie warejee salama

    Jibu

    Jamani pole yao

    Jibu

    hivi hawa wanaowafanyia fujo wanasoka wanakua na nia gani????, hili jambo inabidi lifanyiwe kazi ili lisije jirudia kwa wengine na kuleta maafa mengine

    Jibu

    hao jamaa vp corona imewapanda kichwan nn

    Jibu

    Hivi vitendo vya kiuni vinabidi kukemewa kabisa

    Jibu

    Duuuh..!bado mbinu ya kujiepusha na nakorona haijapatika sa kama mashabiki wanaenda hadi kwenye kiwanja inakuaje sa hapo..!sijui hiyo simba na yanga itakuaje watu watakaa hadi barabarani..!

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Habar za kusikitisha sana

    Jibu

    Hawa nao hawana lolote asahv

    Jibu

    Pole yao habali zakusikitisha Sana

    Jibu

    Jamani daaah pole yao

    Jibu

    Mungu awaponye

    Jibu

    Vitendo vya kiuni inabid nikemewe#meridianbettz

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Duu hii Ni hatari sana

    Jibu

    Hii ni hatari sanaa

    Jibu

    Sad newz

    Jibu

    Duh poleni Sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.