Hazard Atarejesha Matumaini ya Real?

Real Madrid walikamilisha uhamisho wa Eden Hazard kutoka Chelsea kwa ada ya €100M. Moja ya sajili za gharama zaidi klabuni hapo. Walikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa nyota huyu aliyekuwa msaada mkubwa kwa Chelsea kwenye EPL.

Hata hivyo, Mbelgiji huyu ni kama alikuwa hana bahati baada ya kuhamia Real Madrid, huku akionekana kuwa ataikosa sehemu kubwa ya kampeni ya msimu huu 2019-20.

Majeraha yamekuwa yakimuandama, na alifanyiwa upasuaji mwezi Februari. Alipata jeraha la enka kwenye mechi ambayo Real walipoteza dhidi ya Levante mwezi February. Kulikuwa na hofu kama ataendelea na kampeni ya msimu huu mapema.

Hazard Atarejesha Matumaini ya Real?
Mazoezini

Wengine walijiuliza kama angeweza hata kucheza tena na Real Madrid? ikumbukwe inakuwa ni kama miezi saba tu klabuni hapo. Uvumilivu ni kama ulianza kuwashinda wapenzi wa Real Madrid huku wakianza kumtupia kejeli mara kadhaa wakitaka kuona matokeo ya haraka ya kufika kwake Madrid.

Hazard Atarejesha Matumaini ya Real?
Hazard alipata jeraha la enka Februari

Ukweli ni kwamba, Hazard amejaribu kuwapa Real Madrid kile wanachotarajia. Lakini jitihada zake zikakwamishwa zaidi na majeraha, akilazimika kukosa gemu 21 za Real mpaka sasa. Hizi zinakuwa ni mechi nyingi zaidi kuzikosa kuliko alizokosa akiwa na Chelsaea kwa misimu 8.

Hazard alikuwa anatarajiwa kuziba pengo la Cristiano Ronaldo kwa namna yake. Pengo ambalo mpaka sasa linatajwa kuwa halijapatiwa mwenyewe.

Upasuaji aliofanyiwa hazard ungeweza kumfanya akose sehemu yote ya ligi iliyosalia. Corona ikabadilisha karibu kila kitu duniani, pamoja na soka lililopewa likizo ya lazima ya karibia miezi mitatu.

Sasa soka lipo tayari kurejea, Hazard pia yupo tayari kurejea dimbani -mambo ya corona haya, vinginevyo jamaa angekosa mechi nyingi zaidi.

Kwa sasa, minong’ono inayoendelea ni kuwa je, kurejea kwake kutarejesha matumaini Real Madrid, na akafanya kubwa kuliko walilomtarajia na kuwanyamazisha wakosoaji wake? Wewe unafikiri nini kuhusu hili, weka maoni yako hapa chini, nitafurahia kuyasoma maoni yako.

 


 

Tumerudi na Ligi Kubwa Duniani! Bashiri Soka BETI HAPA

Meridianbet Bet Tanzania

Bashiri na Mabingwa wa Ubashiri Tanzania

52 Komentara

    Hazard ni mchezaji mzuri naamini msimu atafanya vizuri kuthibitisha thamani yake#meridianbettz

    Jibu

    Hazard ni mchezaj mzuri Sana thnks meridian tz

    Jibu

    kama akipewa muda zaid atakuwa msaada mkubwa

    Jibu

    Ni mchezaji mahiri sana Hazard akijiapanga vizuri basi na mambo yatakuwa mazuri kwa Real

    Jibu

    Kitu pekee wamuamin na wampe tena nafasi

    Jibu

    Ni mchezaji mzur natumai ataleta ushindani

    Jibu

    Hazard yuko vizuri sana mimi namkubali sana

    Jibu

    Hazard jembe wampe muda tu

    Jibu

    Hazard yuko vizuri sana na anaweza kufanya mambo makubwa kuliko wanavyo waza wao

    Jibu

    Ukiachilia majereha kiwango cha Hazard katika Madrid hakiwezi kupanda haendani na timu

    Jibu

    Hazard alikuwa vizuri hapo nyuma ni matumaini yangu atakirudi ataweza kufanya vizuri Real na kwa mashabiki pia.

    Jibu

    Namuelewa sana hazard

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Hazard yupo vzr sana#meridianbettz

    Jibu

    Talent player

    Jibu

    Hazard Ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Hazard ni mchezaji mzuri sana me mwenyewe namkubal sana

    Jibu

    Hazard Yuko vizuri sana

    Jibu

    wampe nafasi anaweza akafanya vizuri uko mbeleni

    Jibu

    Kama akipewa muda itakuwa vizur sn

    Jibu

    Hazard mchezaj mzur injuried tu ndo imezinguwah na Iman Kama hatarud hadhibitisha dhaman yake thnks meridian bet tz

    Jibu

    Wamuamini na wape Tena nafas

    Jibu

    Matumaini yanaweza kuwepo sababu kucheza mpira Ndio kazi yake

    Jibu

    Hazard namkubali sana

    Jibu

    Hazard yupo vizuri sanaa

    Jibu

    Hazard anajielewa sana..mimi pia namwelewa

    Jibu

    Tokea aondoke hazard Chelsea imekuwa vibaya sana coz wamemuza kiungo mzur now anafanya vzur Madrid

    Jibu

    Hazard Yuko vizur

    Jibu

    Asante kwataharifa nzuri

    Jibu

    Hazard namkubali sana

    Jibu

    Hazard ni mchezaji ambae anajutambua

    Jibu

    Mbelgiji huyu ni kama alikuwa hana bahati baada ya kuhamia Real Madrid, huku akionekana kuwa ataikosa sehemu kubwa ya kampeni ya msimu huu 2019-20.

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Daah..!pole sana mpambanaji hazard mipango sio matumizi

    Jibu

    nice

    Jibu

    Ukweli ni kwamba, Hazard amejaribu kuwapa Real Madrid kile wanachotarajia. Lakini jitihada zake azijazaa matunda kutokana na majeraha

    Jibu

    Hazard yupo vizuri.ataweza

    Jibu

    Tumpe muda anaweza akarudisha kiwango chake

    Jibu

    Matumaini yatarejea wakikaza buti

    Jibu

    Hazard ni mpambanaji lazma atafabya mageuzi msim huu

    Jibu

    Hazard yupo vizuri sana

    Jibu

    Nawakubali Sana hazard Yuko vizur

    Jibu

    Hazard ni mchezaji mzuri. Kwa uweza wa mwenyezi Mungu atapona hayo majeraha yake atakuwa sawa

    Jibu

    Gazard namkubali sanaaa

    Jibu

    Hazard fundi natumai ataleta mabadilko makubwa..

    Jibu

    Hazard amejaribu kuwapa Real Madrid kile wanachotarajia alicheza kwa bidii kwenye timu yake

    Jibu

    Apewe muda tu

    Jibu

    Akirudi tena atawasha moto zaidi.

    Jibu

    Wakimpa mda atafanya vizuri sana

    Jibu

    Hazard bora angebaki Chelsea kwani hajaonyesha makali yeyote Real Madrid #merdianbettz

    Jibu

    Nomaaa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.