Hakuna aliyekutwa na virusi vya Corona kutoka kwenye vipimo 1,195 vilivyofanyika hivi karibuni kwenye Premier League.
Hii ni raundi ya sita mara mbili kwa wiki kupima wachezaji na watumishi wa klabu kilichofanyika 4 na 5 Juni.
Ni mtu mmoja tu ndio alikutwa na Corona raundi iliyopita na 13 jumla kutoka 6,274 tangu upimaji wa sampuli umeanza.
Premier League ilisimamishwa Machi 13, inatarajia kurejea Juni 17 bila mashabiki pale Aston Villa watakapoialika Sheffield United.
Manchester City wataikaribisha Arsenal.
Liverpool wana alama 25 juu kwenye msimamo wa Premier League, wakati Bournemouth, Aston Villa na Norwich City wapo kwenye katika hati hati ya kushuka daraja.
Mechi 92 ndio zimesalia kukamilisha msimu.


Mariam mtandama
Duuuh
Hope mwaikuka
Ni jambo jema kusikia hvyo
Evaluziga
Asanten kwa taarifa nzuri
Ester jackson
Nknafurahi kusikia hivyo pongezi kwa wataalu wetu wa afya kwa kuendelea kupiganija jambo hili kwenda sawa
Ester mmakasa
Ni habari ya kufurahisha na yenye matumaini makubwa sana kwa dunia nzima ,Asante mungu kwa kutuhurumia na janga la corona.
felister
habari njema
isha
hilo ni jambo jema la kumshukuru mungu
Devotha
Ni habari njema
winfrida
mungu ni mwema mdudu corona anaisha
Antony Luseno
Hili ni jambo la matumaini tuendelee kumwomba Mungu hali iwe hivi
Sadick
Wow! That’s wonderful# meridianbettz
Amani
Ngoja tuone kama Liverpool wataendeleza ubabe na kubeba kombe
Adelta
Ni habari njema kusikia
Corona imeisha
Mwanaidi
Ni nyema kama hakuna corona
Tahiya
Ni matumaini yetu kuwa hali itakuwa shwari
Salma
Ni habari nzuri
Dorophina
Ni habari nzuri Jambo la kumshukuru mungu
Agness
Nihabari njema mungu mkubwa
Elika
Hakika Mungu amesaidia kusikia corona imeishaaaa
Ernest
Ngoja tuone kama Liverpool wataendeleza ubabe
Rehema
Woo! Asnte meridianbet kwa taarifa
Neema juma
Hii ni habari njema .tumshukuru Mungu tunaamini hili gonjwa litaisha kabisa
Asha mvugalo
Habari njema hii.
Genia Sikaluzwe
Ni habari njema Sana ka mashabiki kusikia kuwa corona imeisha
Rehema Dickson
tumshukuru Mungu tunaamini hili gonjwa litaisha kabisa
Theckla
Ni Jambo lakumshukuru Mungu
Samiah
Jambo la kumshukuru mungu sanaa
Sylvester
wacha moto uanze tena kwenye ligi kuu #meridianbettz
Zeiyana
Daaah..!mungu hatuepushe laund inayofuata wakipimwa hasipatikane hata mmoja…!
mwakalosi
hii ni habari njema kwa sisi wapenzi wa soka
Christopher
Habari njema kwa wana Premier league
mathayo sonje
jambo jema sana hili, na ni taarifa nzuri kutoka primia ligi, kwa sababu itapunguza hofu kwa wachezaji wawapo uwanjani
Furahav
Hii habari imenipa matumaini ya kuwa salama.
Lydia Emmanuel Magoti
Habari nzuri kwa Wana premier league
Hamidu
Goodnews
Emmy cleopa
Habar njema
Mwajuma
Kama corona hamna ngoja tusubiri burudani yasoka
Mwanahamisi
Ni Jambo la kumshukuru mungu
JULIANA
Ni taharifa nzuri maana corona aimuachi mtu salama
lombo
gud newz asante
Shafii
Makala nzuri
Kenani
Safi sana
Frank Patrick
Tusishangae wakiruhusu idadi chache ya mashabiki hawa epl
David Pere
Wasiogope wakipoge tu watu tupate burudani maana tuliikosa kwa mda mtufu sanaa
Isaya massawe
Ni furaha sana kwa mashabiki wa soka kusikia hakuna korona EPL
Magdalena
Corona ishaisha ituache kwanza sisi tupige pesa za kubeti
Gabriel
Corana imepungua hofu kwa kiasi fulan
Theonestina
Meridiabet hamna mpinzani wallaah 👏👏
neema hassan
Asante kwa taarifa#meridianbettZ
farida ahmadi
Habari nzuri Sana hii imepunguza ofu kwa kiasi kikubwa Sana