Bundesliga Yaguswa na 'Black Lives Matter'

Bundesliga wameonyesha kuungana na maandanao ya watu weusi yenye jina Black Lives Matter baada ya baadhi ya timu kuonyesha ishara ya kuunga mkono maandano hayo.

Borussia Dortmund na Hertha Berlin wachezaji kwa pamoja walipiga goti katikati ya dimba kabla ya kuanza kwa mechi Signal Iduna Park.

Wachezaji wa Dortmund walipasha misuli wakiwa na T-shirts yenye ujumbe “no peace, no justice” and “united together”.

Wachezaji wa Bayern Munich walivaa T-shirts yenye maneno “red against racism” kabla ya ushindi 4-2 dhidi ya Leverkusen.

Viongozi wa Bundesliga walivaa vitambaa mkononi vilivyosomeka “Black Lives Matter” wakati wa mechi.

Straika wa Mainz, Pierre Kunde alipiga goti baada ya kufunga goli la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi Eintracht Frankfurt.

56 Komentara

    Good news

    Jibu

    Dunia kwa ujumla inabidi iungane na hili swala la kupinga ubaguzi wa watu weusi

    Jibu

    Ni jambo la busara kuungana kwa pamoja kupinga ubaguzi

    Jibu

    Yani hili suala la ubaguzi kwa watu weusi limekuwa tatizo sasa ila watu wakiungana nahisi litaisha

    Jibu

    Ni jambo la busara wao kuunga mkono

    Jibu

    Tatizo hili limegusa kalibia dunia nzima inabidi tuungane kutokomeza hili tatizo

    Jibu

    Asantee kwa taarifa meridian

    Jibu

    Umoja ni nguvu wamefanya jambo la maana kugomba kuhusu ubaguzi

    Jibu

    Ubaguzi sio mzur

    Jibu

    Imefika wakati sasa watu wote duania bila kujali tofauti zetu kuwa kitu kimoja

    Jibu

    Ila Watu wakiungana nahisi litaisha tuu maan ubaguzi sio mzuri

    Jibu

    Nikweli mana ubaguzi sio mzuri.

    Jibu

    All races lives matters not only black#meridianbetttz

    Jibu

    Ubaguzi wa langi siyo mzuri

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    kwa ujumla inabidi iungane na hili swala la kupinga ubaguzi wa watu weusi

    Jibu

    Ubaguzi wa rangi umepitwa na wakati ila bado wanauendeleza.

    Jibu

    Habari nzur sana hii

    Jibu

    Kweli kwa kifo cha Alfred kimesisimuwa watu wengi na kuendelea kupingana zidi ya ubaguzi wa rangi kwa kila namna yake

    Jibu

    Ubaguzi sio mzuri wamefanya Jambo la kipekee sana

    Jibu

    Ubaguzi haufai cyomzuri

    Jibu

    Ni jambo jema ubaguzi sio mzuri

    Jibu

    Ubaguzi hautakiwi maana sisi ni watu wa mungu

    Jibu

    Jambo limegusa kila nyanja #meridianbettz

    Jibu

    Ni Jambo la kheri kupinga ubaguzi

    Jibu

    wamefanya vizuri sana umoja ni nguvu

    Jibu

    ifike mahali dunia nzima tuungane bila kujali tofauti zetu

    Jibu

    Ubaguzi wa Rangi ni mbaya sana lazima dunia iungane kwa hili #safi sana bundesliga #meridianbettz

    Jibu

    Umoja ni nguvu wamefanya maamuz mazuli kushikamana #meridianbettz

    Jibu

    hili jambo limegusa karibia dunia nzima

    Jibu

    mambo ya msingi kama haya yanapaswa kuungwa mkono, kwa sababu jambo hili likifumbiwa macho linaweza kujirudia tena ulimwenguni

    Jibu

    Hii habari ni ya kusisimua sana.

    Jibu

    Ilijambo limegusa kalibia dunia nzima

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Nijambo jema lakuigwa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Ubaguzi wa rangi sio mzuri

    Jibu

    Kupitia maandamano haya sijui kama litatokea tena ubaguzi dhidi ya watu weusi..!

    Jibu

    asante kwa habar moto moto

    Jibu

    Ubaguzi sio poa aise

    Jibu

    Binadam ote ni sawa tuache haya mambo

    Jibu

    Tukio la kikatili Sana hili limeumiza watu weng sana

    Jibu

    Ubaguz wa rangi upigwe Vita dunian kote

    Jibu

    Justice for floyd

    Jibu

    kwa kifo cha Alfred kimesisimuwa watu wengi na kuendelea kupingana zidi ya ubaguzi wa rangi kwa kila namna yake

    Jibu

    Ukweli wanaujua lakini wanajidai Kama hawajui Cha kufanya

    Jibu

    Wamefanya jambo zuri na la kuigwa

    Jibu

    Kila mtu hili swala kaumia #Meridianbettz

    Jibu

    Ubaguzi si mzuri umoja ndo mpango mzuri habari za kufurahsha hizi

    Jibu

    Ni vizuri tukaungana wote.adi Africa kupinga ubaguz wa rangi

    Jibu

    Ujeruman na Italy kuna ubaguz wa kiaina

    Jibu

    Gud update hv now

    Jibu

    Ubaguzi wa rangi sio kitu kizuri binadamu wote ni sawa

    Jibu

    Dunia kwa ujumla inabidi iungane na hili swala la kupinga ubaguzi wa watu weusi Kila binadamu Ana haki ya kuishi kwa uhuru

    Jibu

    Ni tatizo kubwa sana linalowakumba watu weusi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.