Toni Kroos amefunguka kuwa anataka kuona muda uliobaki katika maisha yake ya soka, anamaliza katika klabu yake ya Real Madrid.
Kiungo huyo ameshinda taji moja la La Liga na Ubingwa mara tatu wa Ligi ya Mabingwa tangu atoke kutoka Bayern Munich mnamo 2014.

Mjerumani huyo ambaye ana kandarasi hadi 2023 huko Bernabeu baada ya kusaini Mkataba mpya mwaka jana, amesema kuwa hana mpango wa kuhamia mahali pengine.
“Katika ulimwengu wa mpira wa miguu miaka mitatu ni muda mrefu sana na lengo langu ni kuheshimu mkataba,” Kroos aliliambia jarida la Ujerumani GQ.
“Kufikia wakati huo nitakuwa na miaka 33 na nitakuwa na chaguzi zote; kuendelea hapa, kufanya kitu kingine au kumaliza kazi yangu. Kwa kweli, hamu yangu ni kumaliza kazi yangu hapa Real.”


Antony Luseno
Kroos ni moja kati ya midfielder wasiovuma ila wakiwa uwanjani ni habari nyingine
Khadija
Mchezaji mzr abaki tu real#meridianbettz
Tahiya
Ni mchezaji mzur abaki tyuu real hata ivyo bdo anahitajika pia
Mwanaidi
kroos ni mchezaji mzuri sanaa aendelee tu kubaki madrid ni bora zaidi kuliko kwenda sehemu nyengine
Salma
Kroos ana akili nyingi na uwa anatumia nafasi zake ipasavyo
Dorophina
Haendelee kuongeza kipaji chake wala asiondoke madrid
Agness
Nimchezaji mzuri Sana asiondoke
Agness
Nimchezaji mzuri Sana asiondoke Baki hapohapo
Neema juma
Toni kroos yuko vizuri mno lazima tumpongeze
Asha mvugalo
Nikweli malizia tu hapo.
Ernest
Tatizo umri na kiwango chake kimeshuka hvyo itakuwa ngumu sana kuendelea kusalia Madrid
Rehema
Ni mchezaji ambaye Yuko vizuri tatizo umri na kiwango chake kipo chini kwaiyo itakuwa ngumu kuendelea madeid
Genia Sikaluzwe
Ni Bora amalizie hapo hapo tu
Ester mmakasa
Kama uko na Uhuru na mambo yako na unafanya kazi yako vizuri baki tu kijana.
Rehema Dickson
moja kati ya midfielder wasiovuma ila wakiwa uwanjani ni habari nyingine
Mariam mtandama
Asiondoke abaki
Hope mwaikuka
Kroos ni mchezaj mzur
isha
Kroos namkubali sana
Ester jackson
Mimi kama shabiki naheshimu sana maamuzi yake kwani namkubali sana
Adelta
Asiondoke abaki tu
Samiah
ASiondoke abaki
Theckla
Amalizie tu hapo hapo
felister
mjerumani mwenye kandarasi hadi 2023
winfrida
sio mbaya ni maamuzi mzuri apo ulipobakiza malizia tu miaka iliyobaki
Evaluziga
Ni mchezaji mzuri abaki tu hukohuko
Sylvester
Kroos amalizie tu RealMadrid kwani bado yuko bora hapo
Sadick
Namutakia kila lakheri. Moja ya wachezaji ambao neno kuhama Real Madrid halipo kwenye kamusi yao ni Ramos#meridianbettz
mwakalosi
real Madrid inabidi wafanye mchakato wa kumtafuta mbadala wa huyu jamaa
Christopher
Kiungo tegemezi huyo, bado ana umuhimu sana hapo
mathayo sonje
hata hivyo jua lisha zama, maana hata majeruhi yatamsumbua siku za baadae
Furahav
Toni namkubali sana huyu,kwa pasi za mwisho.
Mwajuma
Kiungo fundi ninaemkubali
Lydia Emmanuel Magoti
Kroos amalizie tuu Real Madrid kwakuwa bado yupo vizuri
Emmy cleopa
Abaki tu mbona ni mchezaji mnzur tu
Mwanahamisi
Kiungo fundi namuaminia
Hamidu
Kiungo fundi ninayemkubali Sana#meridianbettz
Zeiyana
Madrid hawawezi kumuacha haende kroos..!kuna mengi kawafanyia ni bola hamalizie hapo hapo tu
lombo
habr njema
JULIANA
Ni wazo zuri
Shafii
Atulie hapo hapo amalizie mpira wake
Kenani
Inakua poa coz ni mkongwe anajua soccer linarnda vip abaki na ikiwesekana akifikisha muda awe msaidiz wa kocha
Aziza mushi
Asiondoke amalizie tu hapo hapo
Frank Patrick
Coach ajae huyu kwenye ulimwengu wa soka
Neema hassan
Kiungo mahiri abaki madrid
David Pere
Umri wake kwanza unamruhusu kumaliza mpira wake palee Wala asiangaike
Isaya massawe
Nafikiri kroos anastahili kabisa kusalia real Madrid
Warda
Bora abaki tu#Meridianbettz
Magdalena
Abakiii aendelee kuipa nguvu madrid
Caroline
Real Madrid panamfaa.
Gabriel
Huyu n streka ambaye awiki ila yuko poa
Povel
Ni moja Kati ya wachezaj wasio kaa kwny midomo ya mashabik na wapenz wa soka dunia
Theonestina
Madrid panamfaa sana.abaki tu
Amani
Tatizo umri na kiwango chake kimeshuka hvyo itakuwa ngumu sana kuendelea kusalia Madrid Bora angalie changa Moto nyingine