Ulishawahi kufikiria lini na ilikuwaje kadi nyekundu zilianza kutumika kwenye soka? Wacha tupashane hapa Meridianbet Sports!
Kuanza kutumika kwa kadi nyekundu ilikuwa ni moja ya maendeleo makubwa sana katika soka. Na haikuwa rahisi kuendana na mabadiliko hayo mara moja. Ni kama ilivyokuwa VAR, katika kizazi hiki cha digitali.
Kama ulikuwa haujui! Wazo la matumizi ya kadi hii kwenye soka liliamshwa na kupigiwa upatu sana na muamuzi Ken Aston.
Bwana huyu alijikuta akifikiri matumizi ya kadi hii baada ya kukwama kidogo kwa mda kwenye mataa ya barabarani. Ndiyoo, ni mataa kama ya Ubungo, yale yale! Baada ya kuona rangi za taa zile za kuruhusu magari alijiwa na wazo.
Kwa mara ya kwanza katika kombe la Dunia ilitumika mwaka 1970, kisha Ligi Kuu Uingereza -Premier League wakachukua wazo hili mwaka 1976.
Kama VAR ilivyo “Trend” kipindi hiki kwenye soka, basi miaka ya sabini, ishu ilikuwa ni kadi nyekundu katika mapinduzi ya soka. Kadri siku zilivyoenda mfumo wa makosa na adhabu uliboreshwa na kadi nyekundu ikawa sehemu ya soka ulimwenguni kwote.
Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.



Omary lukumbi
Duu alifikilia kwa kina sana maana mpira vita jambo huwez kuingia na dhana uwanjan ila vita yake watu 22 kugombea mpira mmoja ila bila kadi nyekundu basi wachezaj wasinge cheza kwa tahadhali kwa maana hata wakimuumiza mtu hawez kutolewa nje na muamuzi wa ndan ya uwanja bali ataonywa kwa maneno ila kadi nyekundu imesaidia kidogo wachezaj wawe na nidham kidogo kuogopa kutolewa na kugharimu timu yake
Mwanaidi
Kumbe ndivo ilivyoanza wengi tulikuwa hatujui hii kitu asanteni kwa taarifa hii #meridianbettz
Aziza mushi
🤔kumbe ndivyo ilivyo anza kweli meridianibet mnatujuza Mambo mengi sana👏
Rehema
Duu alifikiri kwa kina sana kumbe ndivyo ilivyoanza aisee meridianbet mko vzur
Elika
Kumbe huo ndo mwanzo wa kadi nyekundu
Salma
Habar mpya hii kwangu
Genia Sikaluzwe
Duuuuh kumbe huo ndiyo mwanzo wa kadi nyekundu
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
Magdalena
Ooh kumbe chanzo Cha utoaji wa kadi nyekundu
Mwanahamisi
Kumbe ndio ilivyoanza kweli meridian mnatupa uhondo
Antony Luseno
Adhabu ya kadi nyekundu ni nzuri maan kuna wachezaji wengine ni jeuri uwanjani hii inawafaa
Johnmary joel
Mnastahili pongezi meridiabetz hakika mnatuelimisha nakutupa ufafanuz mwingi katika michezo#meridianbett
Lydia Emmanuel Magoti
Adhabu yakadi nyekundu nizuri mahana Kuna wachezaji wengine nimajeri huwanjani kwaiyo kadi nyekundu Hina wafaha
Ernest
Ken Aston aliona mbali sana, Maana nadhani ungekuwa kama masumbwi maana kuna wachezaji wanacheza rafu mbaya sana watu wangevunjana sana, tuliocheza cha ndimu tunafahamu hili, watu miksa kucheza na viwembe na visu.
David Pere
Waliona mbali sanaa maana wachezaji wangeuwana uwanjani ,sababu hakuna maamuzi magunu ya kumtoa mchezaji nje ya pichi
felister
ahsanteni nilikua silitambui hili
Hilda
Asnten meridian kwa mwongozo mzuri wa makala
Khadija
Kumbe ndio ilivoanza matumizi ya kadi nyekundu duuuh!!!ahsanten kwa taarifa kwani nilikuwa cjui meridian bwana mnajua kutunogesha mashabiki wenu#meridianbettz
Dorophina
Tnx meridian kwa taarifa maana nilikuwa sielewi hili jambo
Zeiyana
Kama kungekua akuna kadi nyekundu sijui ingekuaje..!wachezaji wangevunjana miguu uwanjani kuna kitu kama asira lazima ziwepo
warda
Nafikilia bila kadi nyekundu ingekuwaje#Meridianbettz
Caroline
Kadi nyekundu inaleta nidhamu kwenye mpira
Devotha
Kumbe! Pongezi kwake aliegundua kadi nyekundu maana alitumia akili
Sadick
Maboresho ya kila mchezo kufanya wa kuvutia huchukua hatua moja mpaka nyingine na kwa miaka mingi. Ni wazo zuri kwasasa VAR tunaona kama kimeo lakini mwisho wa siku itazoeleka na kuwa msaada kweli kwa refaree#meridianbet
Amani
kadi nyekundu imesaidia kidogo wachezaj wawe na nidham kidogo kuogopa kutolewa na kugharimu timu yake
Adelta
Hii Ni habari njema kwa mashabiki
Issa
Vizuri sana imesaidia kadi nyekundu kwenye soka
Theckla
Asante kwa kunijuza
edgar
Haaah leo ndo nimepata kujua why mpiran waweke kadi nyekundu.. ndomana kumbe shule bila fimbo bado ujasoma maana kila mtu angejiamulia cha kufanya…..
Jullie
Menitoa vumbi leo
Christopher
Red card imekuja kirahisi ila inasaidia sa a kweny michezo Siku hz, bila hyo mpira usingekuwa unanoga
Hope mwaikuka
Kumbe du
Povel
Duh
isha
Duuh nilikua sifaham kumbe ndio ivyo
Hamidu
Asante kwa makala nzuri ya kusisimua nilikuwa sifahamu#meridianbettz
Ester jackson
Kumbe ndipo ilipo azia kadi nyekundu alifikiria sana Aston daah pongezi sana mana inasaidia sana uwanjani kwa nidhamu mana ingekuwa michenzo haina dakika maalumu watu wangefanya wawezavyo ## meridianbettz
Gabriel
Kwel Ken Aston alibuni kitu kizur ambacho hadi sasa tunaona jinsi mpira unavyochezwa kistaharabu zaid maana najaribu kufuta picha hapo zaman kabla ya kuwepo kwa kadi nyekundu mpira ulikuwa unachezwa vipi na Kama mchezaji amefanya madhambi alikuwa anapewa adhabu gani swala la kuona mataa rang nyekundu inahashiria n kusimama n bonge la idea iko poa sana natumain kuanzia mwaka 1970 mpk now n miaka Kama hamsin hv tunatakiwa kumuenzi Ken Aston kwa Jambo zuri Kama hilo
Amiri Kayera
Bado nawaza km mpila ulikua unachezwa maan akuna sheria kali
Njiku
Ken aston kafanya jambo zuri sana maana bila kadi nyekundu wachezaji wasinge kuwa na hofu ya kuikosti timu na kufanya utovu wa nidhamu wakiwa uwanjani
Frank Patrick
Nimeipenda sana hii article
Fatuma kasomo
Bila card nyekundu sijui ingekuaje
Rehema Dickson
Asante meridian kwa kunijuza hili sikulijua hapo kabla
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa #meridianbettz
Shafii
Habari ya kusikitisha Sana kuingia na zana uwanjani ni Jambo baya Sana ila huku bongo hii Bado ipo kwenye mechi za mchangani refalii anachezesha mpira na zuna kiunoni kikiwaka tu analichomoa
Furahav
Habari nzuri.
Sabrina
Maoni:Asante kwa kunijuza
Asia Abdy
Ooh sikujua hlo
Tatu
Asante kwa makala hii