Alcantara Avunja Ukimya Juu ya Uvumi wa Kurudi Barca

Kiungo wa Liverpool Thiago Alcantara amesema anazingatia zaidi kucheza na timu yake ya sasa hasikilizi kuhusu uvumi unao muhusisha kurejea katika klabu yake ya zamani.

Alcantara Avunja Ukimya Juu ya Uvumi wa Kurudi Barca

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania ni zao la akademi ya La Masia na alicheza katika kikosi cha wakubwa pamoja na kocha wa sasa wa The Blaugrana Xavi.

Kujiunga tena na wakatalunya ndiyo taarifa zinazogonga vichwa vya habari na Thiago bado hajaleta matarajio ambayo wengi walikuwa nayo katika ligi ya Uingereza lakini ametupilia mbali uvumi wa kwamba anaweza kuondoka Anfield katika dirisha la Januari.

Aliulizwa kuhusu tetesi za kurejea Barcelona Thiago aliwajibu maripota: “Ninacheza mpira, si sijihusishi na tetesi.”

“Ninatazamia zaidi majukumu yangu na timu, nina mkataba na nina safari katika ligi ya Premia nikijaribu kutwaa mataji.


PANDISHA THAMANI YA DAU LAKO NA FAI CAI SHEN

Wiki nyingine ya kushinda mamilioni ukiwa na kasino maridhawa za meridianbettz. Mchezo pendwa wa Fai Cai Shen unakupa thamani ya dau lako, kwa kiasi kidogo cha dau unaweza kushinda mkwanja mrefu.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.