Kocha wa Inter Millan – Antonio Conte amesema anawaona Shakhtar Donetsk kama ndio timu ya kwanza itakayokuwa ngumu kwa vijana wake kwenye Ligi ya Europa.
Baada ya nusu fainali ya kwanza kati ya Sevilla na Manchester United, kwa Sevilla kuibuka kidedea na kufuzu hatua ya fainali. Ungwe ya pili ya hatua hiyo itawakutanisha Inter Millan dhidi ya Shakhtar Donetsk na mbabe atakwenda kuchuana na Sevilla katika fainali ya Ligi ya Europa.

Akizungumza kabla ya mchezo huo. Antonio [Conte] amesema ” tunawaheshimu sana Shakhtar, wametumia miaka mingi kufikia kiwango walichonacho. Ni wapidhani imara ambao tutakutana nao toka michuano hii imeanza msimu huu. Tunataka kuonesha kuna sababu iliyotufikisha kwenye hatua hii ya nusu fainali.”
Ashley Young nae amenukuliwa akisema “Fikra zetu zipo kwa Shakhtar Donetsk, ndio mchezo wetu unaofuata na ndipo akili zetu zilipo kwa sasa.”

Akiuzungumzia mchezo huo, kocha wa Shakhtar Donetsk – Luis Castro amenukuliwa akisema, ” Ninautulivu wa hali ya juu kuhusu mchezo huu. Ninafahamu tunakwenda kupambana na timu imara na wala haishangazi, tumejiandaa kwa hili.
“Utakuwa ni mchezo mgumu lakini hata Inter Millan wanajua wanakwenda kukutana na upinzani imara. Utulivu ni uhalisia wetu, tumejiandaa vyema.”

Inter Millan na Shaktar Donetsk mara ya mwisho walikutana mwaka 2005-06 katika hatua ya kufuzu kwenye Michuano ya Ulaya-UEFA ambapo Inter alishinda kwa magoli 3-1.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


warda
Achosema Conte ni kweli Shakhatar sio mchezo kabisa#Meridianbettz
Ernest
Inter wanakikosi bora sana lakini ni vizuri wakachukua taadhari dhidi ya Shakhatar
Sadick
shakhtar donetsk ni timu nzuri iliyojaa Wabrazil wengi na inacheza soka la kuvutia#meridianbettz
Latifa juma mohamed
Ni ukweli shaktar wapo vzr kupambana na timu imara na wala haishangazi,nadhani inter wamejiandaa kwa hili.
Sabrina
Shakhtar wako vizuri kimpira inawachezaji wanaojituma sio timu ya kuidharau hili conte kaliona ndio maana kasema hivyoo
Adelta
Inte wanaenda kukutana na upizani mkubwa Ila wako imara uwanjani@meridianbettz
Neema
Ni kweli kabisa anachosema luis Castro ila shakhtar Donetsk wako vzr
Ester jackson
Makocha wako sana ila kwangu Mimi nasema kuwa tunajua kuwa timu zinazokutani huwa zinauwezo sana ukizingatia wachezaji wao wengi sana no vijana mana hasaivi tunaweza kusema kwa sababu Shakhtar yuko vizuri zaidi basi inter Milan watapoteza hapana wote wako vizuri tusubiti kuona nani atakuwa mbabe hapo atakae kutana na Seville.
Tatu
Conte mbona kama ujiamini HV unawavunja moyo wachezaji wako lolote linaweza kutokea uwanjani kikubwa ni kukaza hapo uwanjani
aisha
Inter wanatakiwa wajifue kweli kweli maana wanaenda kukutana kikosi cha kazi
Lydia Emmanuel Magoti
Inter Wana kikosi kizuri Ila inabidi waistukie game wakutamaki Wana kuwa Kama wanaigopa mchezo huo Ila wawe wanajiamini wapambane vyovyote vile mpaka paeleweke
magdalena
inter pamoja na kuwa na kikosi kizuri wanabidi wawe makini maana lolote laweza tokea
Mwanahamisi
Shakhtar donesty ni timu nzuri sana
Mwajumah
Anachosema Conte ni kweli shakhatar sio mchezo yan #Meridianbettz
Fatina mfingi
Wanaenda kukutan na timu kubwa kikubwa kukaza buti na kujiamin uwanjani2
felister
ni kweli shakhtar donesty ni timu nzuri lakini Conte hutakiwi kukata tamaa mapema ivyo
Shan
Mechi itakua ya aina yake hapatoshi.
Khadija
Makala iliyojitosheleza maelezo
marry
wako vzr
Issa
Inter ijipange kuitoa shaktar hii ni timu ya ushindani sana kwenye hatua kama hizi
Furahav
Mjiandae mana shaktar ni noma sana.
Salma ngende
Wako vizuri
Gabriel
Ata mm namuunga mkono maana shakhtar wako vzur wakijiamin wanaweza wakapoteza mchezo inter wanatakiwa kuwa makin
farida ahmadi
Yuko sahihi kabisah
Fatuma kasomo
Nikweli tim nzuri lakini conte hawatakiwi kukata tamaa
Genia Sikaluzwe
Yuko sahihi kabisa
Janeflora malisa
Nice
Shafii
Conte hizo ni mbinu za kuwapoteza maboya wapinzani wako.
Povel
Conte hzo dalili za uoga mpr dk 90
Hope mwaikuka
Nawakubal sana
Devotha
Inter wajipange vizuri
Johnmary joel
Kwakweli wajipange vizuri sharktan siyo timu ya mchezomchezo#meridianbett
Nasra
Inter wako vzuri ila sijui wanakwama wapi
Flomena
Utakuwa ni mchezo mgumu lakini hata Inter Millan wanajua wanakwenda kukutana na upinzani imara. Utulivu ni uhalisia wetu, tumejiandaa vyema.”
Zeiyana
Ondoa of intonio conte so kila kitu kinaitaji maamuzi ukiamua unaweza inter Milan wapo vizuri sana tunategemea ushindi zidi ya mpinzani wake
Caroline
Shaktar wapo vizuri
Saupha mohamed
Wapo vizuri
Samiah
Wako vzr
David Pere
shakhtar donetsk ni timu nzuri iliyojaa Wabrazil wengi na inacheza soka la kuvutia#