Kinda wa Manchester United Tahith Chong amejiunga na timu ya Werder Bremen inayoshiriki ligi kuu nchini Ujerumani maarufu kama Bundesliga kwa mkopo kuelekea msimu unaofuata 2020-21.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 anacheza kama kiungo na alijiunga na akademi ya Man United mwaka 2016 akitokea Feyenoord, ameshindwa kuendana na mfumo wa timu na kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza, ameona bora asepe mahali atakapo pewa nafasi kubwa ya kucheza.
Wakati Ole Gunnar Solskjaer alipo ajiliwa na Manchester United mwaka 2018,Chong alikuwa akionekana kama moja ya makinda wanao pewa nafasi ya kuhamia kwenye kikosi cha wakubwa lakini alishindwa kucheza kwa kiwango kizuri na kumshawishi mwalimu Solskjaer.

Amecheza mechi 16 katika mashindano yote na alikuwa hajaanza kuaminiwa na mwalimu kucheza kwa kuanza katika Premier League.
Chong amesaini mkataba mpya mwezi Machi kuendelea kuwa mchezaji wa klabu mpaka mwaka 2022, kukiwa na kipengele kinacho mruhusu kuchagua kuendelea kukaa kwa kipindi kirefu.
Mkataba wake na Werder huenda ukaongeza kitu katika soka la Chong kwa kupata fursa ya kucheza michezo mingi na kuanza kikosi cha kwanza katika Bundesliga.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Latifa juma mohamed
Mkataba wake na Werder huenda ukaongeza kitu katika soka,Chong kwa kupata fursa ya kucheza michezo mingi na kuanza kikosi cha kwanza katika Bundesliga.
David Pere
Ataenda kuongeza kiwango chake sababu kule ataenda kupangwa Mara kwa mara
Mwajumah
Mkataba wake na werder huenda akaongeza kitu katika soka Chong huenda atapangwa katika mechi mara kwa mara#Meridianbettz
warda
Dogo yupo vizuri sana ngoja akaonyeshe kipaji#Meridianbettz
Ester jackson
Mchezaji mdogo sana mwenye uwezo wa juu inaoneka atskuwa mchezaji MKUBWA baadae mana miaka yake bado unaruhusu zaidi
Sadick
Wachezaji chipukizi wanahitaji kupewa nafasi kuongeza uwezo wao, leo hii hakuna mtu angemujua Rashford kama Van Gaal asingemupa nafasi ya kucheza na kuonyesha kipaji chake#meridianbettz
Adelta
Dogo yupo vizuri sana
@meridianbettz
Ernest
Ni wakati wake sasa kwenda kuonyesha makali yake huko Werder Bremen naamini atapata muda mwingi wa kucheza
Sabrina
Tahith karibu Werder Bremer karibu bundesliga
Neema
Hapoo kashaaminiwa tayari na mwalimu wake. Yuko vzr saivi
Tatu
Chong ameona mbali akingangania kukaa man ameona kiwango chake kitashuka bora alivyotumkia kikosi cha bundesliga na kuongeza mkataba wa muda mrefu hadi 2022
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana dogo anajuwa
magdalena
chong nenda kaoneshe maajabu uko
Mwanahamisi
Daah dogo anatisha
aisha
Dogo yupo vizuri sana kila la kher huko aendako
Fatina mfingi
Kikana yupo vizur
felister
ni wakati wake sasa kwenda kuonyesha kipaji chake huko werder
Shan
Ni jambo zuri muache akakuze kipaji chake.
Khadija
dogo yupo vizuli
Issa
Chong akaonyeshe uwezo wake huko
Gabriel
Tatizo man u wanashindwa kuwatumia makinda mtazamo wao wanaangalia wachezaji wakubwa tu ndo kitu wanachofel kabisa ila naamin Chong kutua werder Bremen n anafanya maajabu sana
Salma ngende
Duh!!!
Furahav
Aende akaongeze kiwango chake.
farida ahmadi
Kila la kheri Chong
Fatuma kasomo
Noma
Genia Sikaluzwe
Duuuuh hatari
Janeflora malisa
Hngr chong
Shafii
Ni wakati wa chong kuonesha uwezo wake.
Povel
Gud news
Hope mwaikuka
Nenda kapambanie kipaj chako
Devotha
Wakati ni wake
Flomena
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 anacheza kama kiungo na alijiunga na akademi ya Man United mwaka 2016 akitokea Feyenoord, ameshindwa kuendana na mfumo wa timu na kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza, ameona bora asepe mahali atakapo pewa nafasi kubwa ya kucheza.
Johnmary joel
Kila raheri nenda okaongeze juhudi#meridianbett
Caroline
Ni hatua nzuri
Zeiyana
Sehemu sahii chong aliyo chagua ili kuimarisha kiwango chake
Saupha mohamed
Jamaa yupo vizuri
Samiah
Yupo vzr dogo