Van Persie - Lukaku Amepata "Furaha yake" Inter.

Romelu Lukaku amepata “furaha yake” tena akiwa katika klabu ya Inter Milan na hatojutia kuondoka Manchester United.

Huo ulikuwa ni mtizamo wa Mchezaji wa zamani wa United Robin van Persie, ambaye anaamini Lukaku amekuwa na moto tangu atue klabu ya Inter baada ya kupoteza mwelekeo Old Trafford.

Mbeligiji huyo anaweza kupata nafasi ya kuwaonesha United wapi walipokosea kama Inter na United wakifanikiwa kusonga hatua ya nusu fainali ya Europa League.

Timu ya Inter itawakabili Shakhtar Donetsk wakati United watakua na kibarua kigumu dhidi ya Sevilla, na Van Persie amevutiwa na timu ya Conte ikiwa imeimarishwa safu ya ushambuliaji na Lukaku.

“Anaonekana anafuraha, Conte anawachezesha wachezaji vizuri sana- Stefan De Vrij aliniambia kwamba pre season ni ngumu,” mchezaji huyo wa zamani wa Uholanzi aliiambia Stats Perform News.

“Unaweza ukaona wanacheza kitimu.

“Alifanya chaguo sahihi; anajiamini kama zamani sasa, amekuwa na wakati mzuri,anaonekana ni mwenye furaha.

Lukaku alitumia misimu miwili akiwa na Man United baada ya kujiunga akitokea klabu ya Everton mwaka 2017 na kufunga magoli 28 kwenye michezo 66.

Amefunga mara 23 katika michezo 36 msimu huu kwenye ligi ya Serie A na kumaliza nafasi ya pili alama moja nyuma ya mabingwa wa ligi hiyo Juventus.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

soma zaidi

38 Komentara

    Lukaku tangu aende inter anafanya vizuri sana.

    Jibu

    Lukaku anajua alifanya maamuzi sahihi kuondoka Manchester united

    Jibu

    Lukaku amewika sana toka atue inter kiwango chake kimekuwa juu sana

    Jibu

    Ni kwel kabsaa

    Jibu

    Lukaku amekua na wakati mzuri tokea atue inter.

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Lukaku anafurah na maisha ya inter milan

    Jibu

    Inter kumempenda

    Jibu

    nice

    Jibu

    Sio mbaya ametulia alafu anafanya vzur

    Jibu

    Alifanya chaguo sahihi; anajiamini kama zamani sasa, amekuwa na wakati mzuri,anaonekana ni mwenye furaha Safi Sana lukaku.

    Jibu

    Lukaku amekua na wakati mzuri tokea atue inter. Na hii ligi anaiweza

    Jibu

    Yuko sahihi kabisah

    Jibu

    Kapotea huyu#Meridianbettz

    Jibu

    Alianza vizuri sana lakini mechi za mwisho hakufanya vizuri sana#meridianbettz

    Jibu

    Lukaku tangu aende inter anafanya vizuri sana#Meridianbettz

    Jibu

    Kweli kabisa ila wanatakiwa kucheza kwa umakani mana hata wapi zani wao pia wako vizuri

    Jibu

    Good@meridianbettz

    Jibu

    Lukaku anaenjoy life la Inter, first eleven choice, playing enough time, what else in needs now?

    Jibu

    Lukakuu bado yuko motoo

    Jibu

    Hiyo ilikuwa ndoto ya lukaku kuchezea inter

    Jibu

    lukaku bado yupo vizuri

    Jibu

    Namuwerewa Lukaku tangu haende Inter Mambo yapo Moto kwake anapambania ushindi kwahudi zake zote anajituma sana

    Jibu

    Kukaku Yuko sahihi#meridianbet

    Jibu

    Lukaku piga kazi broo acha na brabra za mtandaoni

    Jibu

    Lukaku tangu aende inter amekua anafanya vizuri sana sana

    Jibu

    Lukaku amekua na wakati mzuri tangu ajiunge na inter.

    Jibu

    Lukaku bado yupo moto

    Jibu

    Ukwel kwamba mfumo wa ole gunar kwa upande wa lukaku ajaulewa kabisa na ndo maana alikuwa anacheza chin ya kiwango ila tokea aingie inter yuko vzur sana

    Jibu

    Sina uwakika na huko aliko

    Jibu

    Lukaku yupo vizuri tokea aende inter

    Jibu

    Lukak ni 🔥🔥🔥

    Jibu

    Nimchezaji mzuri sana endelea kuongea juhudi zaidi#metidianbbett

    Jibu

    Lukaku yupo sehemu salama

    Jibu

    Me naona lukaku alienda inter Milan ili kuonesha kiwango chake alichokua nacho

    Jibu

    Lukaku yupo vizuri

    Jibu

    Gud

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.