Nyota wa Manchester City Kevin De Bruyne amepokea tuzo ya mchezaji bora wa msimu 2019-20 katika Premier League baada ya kupigiwa kura na mashabiki wa ligi hiyo.
De Bruyne aliibuka kidedea kwenye kinyang’anyirro hicho na kuwashinda wachezaji watatu wa Liverpool ambao ni Trent Alexander-Arnold, Jordan Henderson na Sadio Mane pamoja na Danny Ings, Nick Pope na Jamie Vardy.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 alikuwa katika ubora msimu huu na kuisadia City kumaliza katika nafasi ya pili nyuma ya Liverpool mabingwa wapya wa Premier League, alifunga goli 23 na kutoa asisti 20 kwa msimu mmoja na kufikia rekodi ya mtaalamu Thierry Henry mwaka 2002-03.

Ushindi wa tuzo hiyo kwa De Bruyne umewazuia Liverpool kubeba tuzo zote baada ya Jurgen Klopp kuibuka kocha bora wa msimu na Alexander Arnold kushinda tuzo ya mchezaji bora kwa vijana.
Kiungo huyo anakuwa ni Mbeligiji wa tatu kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu baada ya mchezaji wa zamani wa Man City Vicent Kompany kufanya hicvyo mwaka 2011-2012 na Eden Hazard mwaka 2014-15.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


Ernest
Hii haipingwi wala haikataliwi
Mwajumah
Hongera zake anajua sana bruyne Ni haki yake kupata iyo tunzo#Meridianbettz
Shafii
De bruyne ni mchezaji mzuri duniani ni bingwa wa assist,mashuti na faulo kikubwa kinacho Fanya kiwango chake kisiwe na muendelezo ni majeruhi ya Mara kwa Mara yanayo mkabili.
Dorophina
Hongera de bruyne unastahili ulichokipata
Caroline
Hongera De Bruyne
Lydia Emmanuel Magoti
Pongezi zake Anajua Sana De Bruyne lazima awe kwenye nafasi Nzuri kwajudi zake
Ester jackson
Pongezi kwa bruyne kupata alicho kisumbukia
Fatina mfingi
Hongera yake
Nasra
Hongera sana kwake
Tatu
Pongezi kwake
Mwanahamisi
Hongera de bruyne
Zeiyana
Ongela yake de bruyne
felister
ni haki yake bryune kupata hiyo tuzo
Adelta
Hongera Sana kwake
@merdianbettz
aisha
Hongera sana broo kwa kuwa mfungaji bora na pia ikumbukwe watu kama nyie ili kufanikisha ndoto zenu kama hizo huwa mnapitia changamoto nyingi sana kwenye maisha yenu hivyo basi sharap kwako umetisha sana
rama
Maoni:big up sana
Sadick
KDB ndio kiungo bora duniani kwa sasa,anastahili tuzo#meridianbettz
Issa
De brunye ni mchezaji mahiri sana
Furahav
Hongera
Janeflora malisa
Vzr
Devotha
Pongezi kwake
Hope mwaikuka
Congrats to him
Povel
Congrat KVD🙏🙏🙏
Leonard
Habari nzuri
marry
honger kwake
Sabrina
Ni hakiyake anafanya vizur
Latifa juma mohamed
Big up de bruyne , ni haki yko
David Pere
Kiungo huyo anakuwa ni Mbeligiji wa tatu kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu baada ya mchezaji wa zamani wa Man City Vicent Kompany kufanya hicvyo mwaka 2011-2012 na Eden Hazard mwaka 2014-15.
farida ahmadi
Pongezi Sana de bruyne
warda
Hongera yake#Meridianbettz
Adelta
Hongera Sana kwake
@merdianbettz
Adelta
Hongera Sana kwake @meridianbettz
Neema
Pongezi kwake
magdalena
tuzo imeenda mahali pake
Shan
Alistahili kwa kiwango kikubwa alichokionesha ndani ya club yake.
Khadija
pongezi kwake
Gabriel
Hongera sana de bruyne kwel amejitahid sana na anastahil kupewa tuzo
Salma ngende
Hongera kwake
Fatuma kasomo
Hii haipingwi
Johnmary joel
Anastahili hongera zake#meridianbett
Saupha mohamed
Pongezi kwake
Samiah
Safi