Agosti 21 ni vita kati ya Inter Milan na Sevilla kwenye fainali ya Kombe la Europa na mshindi atasepa na taji lake.
Inter Milan ilitinga hatua ya fainali kwa ushindi wa mabao 5-0 mbele ya Shakhtar Donetsk kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali.

Nyota ya mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Lukaku imekuwa kali kwani alifunga mabao mawili sawa na Martinez huku moja likifungwa na D’Ambrosio.
Inakutana na Sevilla ambayo ilishinda mabao 2-1 mbele ya Manchester United ambao bado hawataki kuamini kama walinyooshwa mabao hayo na wapinzani wao.

Kwa Inter Milan inakuwa ni mara ya 10 kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Europa huku kibarua cha Kocha Mkuu, Antonio Conte kikiwa kimeshikiliwa kwa muda kwa kuwa inaelezwa kuwa anaweza kutimuliwa ikiwa hatashinda taji lolote msimu huu.
Fainali itapigwa Uwanja wa Rhein Energie Stadion nchini Ujerumani.
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Mwajumah
Duuh kazi itakuwepo apo Kila team itataka ubigwa dhidi ya mpinzan wake#Meridianbettz
rama
Maoni:atarii sana mechi hiyo
Ernest
Nimefurahi sana Inter kuingia Fainali nahisi mechi itakuwa na mvuto mkubwa sana
Fatina mfingi
Hiyo mechi itakuwa hatar. Sanaaa
Zeiyana
Inter wajipange waondoe wasi wasi wajiamini so ukiangalia sevilla wapo vizuri kwenye matokeo yao na kikosi chao pia
Nasra
Bonge la game
Ester jackson
Conte anakibaruwa kikubwa sana kulinda heshima yake siku ya ijumaa mana kama asipo shinda ataondolewa kwenye nafasi yake anatakiwa kukipanga vizuri kikosi chake ili wafanye maajabu aendelee kunaki inter millan. Na imekuwa bahati kubwa sana kwa lukaku kuhama man u na kwenda inter mana hasaivi kiwango chake kinazidi kuwa imara zaidi kwenye ufungaji Wa magoli
aisha
Duuh nimefurahi sana inter kuingia fainal maana ninachoomba tuu inter wafanye vizuri sana
Adelta
Nimefurahi Sana kuona inter wanaingia fainali@meridianbettz
Khadija
kwa lukaku kuama man u na kwenda inter maana sasahiv kiwango chake kinazidi kuwa imara zaid kwenye ufungaji wa magol
Dorophina
Hii mechi itakuwa sio ya kitoto maana kila timu inataka kuwa winner
Magdalena
michuano mikali sana kila mtu anataka kubaki katika nafasi iliyokuwa nzuri
Lydia Emmanuel Magoti
Nimefurai Sana lnter kuingia Fainali kwasababu ilo game litakuwa siyo yakitoto itakuwa patashika hapo
Shan
Mechi hii ya lnter na sevilla itakua kali sna!!
Sylvester
Mzigo nampa Inter kwani wana kikosi kipana chenye njaa ya magoli na kiu ya kutwaa taji hili kwani ni kwa muda sasa hawajafanikiwa kutwaa tofauti na Sevilla ambao lile ni kombe lao mama
Furahav
Ngoja tuone nani atachukua ubingwa.
Samiah
Nani atakuwa bingwa ngoja tuone
Venerose
Big mechi
Saupha mohamed
Mechi kalii
Salma ngende
Mechi kalii
Gabriel
Hii mech kal sana 👍
Johnmary joel
Mpambano itakuwa vuta ni.kuvute#metidianbett
Amiri Kayera
Kutachimbika
Povel
Don’t miss
Sabrina
Hapo patakua hapatoshi yani patashika nguo kuchanika
Devotha
Mechi itakua kali sana
Sadick
Inter inaonyesha ari na nguvu kubwa kushinda kombe hili ambalo Sevilla ni kama lao#meridianbettz
farida ahmadi
Mechi itakuwa kalii Sana ngoja tujionee wenyewe
Janeflora malisa
Mambo mazur hngr inter
Theonestina
Bonge la mechi
Latifa juma mohamed
Hii mechi ni ya kumtoa chatu vichakani , don’t miss this.
David Pere
Kwa Inter Milan inakuwa ni mara ya 10 kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Europa huku kibarua cha Kocha Mkuu, Antonio Conte kikiwa kimeshikiliwa kwa muda kwa kuwa inaelezwa kuwa anaweza kutimuliwa ikiwa hatashinda taji lolote msimu huu.
warda
Ila hapa inter wanachukua mana wanajitahidi sana#Meridianbettz
felister
bonge moja la mechi
Tatu
Hivi vikosi vya Leo wanatakiwa kujipanga kisawasawa
Hope mwaikuka
Hatarii
Shafii
Hii vita itakua nomaa sanaa.
Mwanahamisi
Habari njema