Juventus Karibu Kuwanasa Dzeko na Kean

Klabu ya Juventus inajaribu kumsajili nyota wa Edin Dzeko kutoka Roma, wakati Moise Kean akiwa mbioni kurejea kutoka Everton kwa dili la mabadilishano na Aaron Ramsey.

Andrea Pirlo anafanya mchakato mkubwa wa mabadili ya kikosi kilichoachwa na Maurizio Sarri pale Turin, na mpango wake ni kubadilisha pia katika safu ya ushambuliaji.

Chaguo la kwanza la Pirlo katika nafasi ya kiungo wa kati anatajwa kuwa ni Dzeko ambaye anatajwa kuwa anakwenda kwa dau la €12m. Kwa mujibu wa La Repubblica, dili hili ni kama limekamilika kwa sasa huku €10m ikiwa ni ada na €2m ikiwa ni bonasi.

Hata hivyo, huyo siyo nyota pekee anayetupiwa jicho na Juventus, kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, pia Kean naye yupo kwenye rada ya Juventus. Kinda huyu wa miaka 20 alitokea katika Akademi yao ya vijana, na akauzwa kwenda Everton kwa €27.5m.

Taarifa zinasema kwa kuwa Juventus wanamuhitaji kinda huyu, wana namna mbili za kumrejesha klabuni hapo. Namna ya kwanza ni kumchukua kwa mkopo wa miaka miwili, wakiwa na sharti la kumnunua mwaka 2022. Huku Gazzetta dello Sport wakitaja mpango wa dili la mabadilishano na Aroon Ramsey.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

41 Komentara

    Juve wamepania kufanya maajabu msimu
    Ujao seria a

    Jibu

    Dzeko yuko vzur sana anafaa

    Jibu

    Pirlo anafanya jambo zuri.

    Jibu

    Juventus hawakubali kabisa kukaa nyuma kazi ipo

    Jibu

    Tunatarajia kuiyona juve mpya ya pirlo msimu ujao.

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Juve sasa itakua vizuri zaidi

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    juventus hawataki kabisa kushindwa

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki#meridianbettz

    Jibu

    Kikosi cha Juve kitakua atari fire

    Jibu

    Pirlo sijui anataka kutengeneza bomu gani? Ngoja tuone

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Msimu ujao Juventus patakuwa hapatoshi

    Jibu

    saf

    Jibu

    Juve wameamua season ijayo ni shida seria a

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Siku zote huwa naamini sio uamuzi mzuri kuuza mchezaji aliyekulia ktk klabu akiwa na umri mdogo sana endapo Juvuntus itamurejesha Moise Kean ina maana uamuzi wa kumuuza haukuwa sahihi#meridianbettz

    Jibu

    Juve itakua yamoto

    Jibu

    Cjui juve itakuaje msimu ujao maana mambo yao ya motoo!!

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Klabu ya wazee hahah ushindani ndani tu na sio njee wasajili vijana ili walete chachu ya kutwa taji la uefa champions

    Jibu

    Pirlo hataki mchezo kabisa kwenye kadirisha haka ka usajiri

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa soka

    Jibu

    juve wameamua kufanya maajabu msimu ujao

    Jibu

    Habari nzuri kwa sisi mashabiki

    Jibu

    Hot newz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Inapendeza sn

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Kean yupo vizuri sana ni mchezaji mdogo hanayejituma sana kwa uwezo alio kua nao ndio imefanya clabu yingi zimtolee macho

    Jibu

    Kikosi Cha Juve kitanoga sana

    Jibu

    Hapa Juve watakua wamepata kwa kweli

    Jibu

    Pirlo hataki mchezo kabisa kwenye kadirisha haka ka usajiri

    Jibu

    Tunatarajia kuiyona juve mpya ya pirlo msimu ujao.

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.