Maguire Kurejea Kwenye Kikosi cha Uingereza

Nahodha wa Man United na mchezaji wa timu ya Taifa ya Uingereza – Harry Maguire, anauwezekano mkubwa wa kurejeshwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa mwezi ujao.

Kocha wa Uingereza – Gareth Southgate, alimuondoa mchezaji huyo kwenye kikosi chake muda mfupi baada ya kusomewa mashtaka na kuhukumiwa na mahakama nchini Ugiriki alipokuwa mapumzikoni.

Taarifa zinasema, kufuatia kesi ya Maguire kukatiwa rufaa na hivyo mchakato mzima kutakiwa kuanza upya, sasa ni muda sahihi wa mchezaji huyo kurudishwa kikosini na kuendelea kuitumikia timu yake ya taifa.

Maguire kurudi kwenye kikosi cha Uingereza mwezi ujao.

Akijibu swali kama wamekuwa wakiwasiliana hivi karibuni, Southgate amesema ” Ndio.

“Tunawasiliana kwa kama wiki mbili na nusu sasa. Amekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda na ninadhani huu muda atakuwa amepumzika vizuri.

“Nafikiri pia alihitaji huu muda wa kupumzika na sasa atakuwa tayari kurejea kwenye klabu yake, kimsingi tutamrudisha mwezi Oktoba.”


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

34 Komentara

    vizuri sana maguire bado yuko fitii

    Jibu

    Akirudi litakua jambo zuri.

    Jibu

    Ni sawa tu

    Jibu

    Nijambo zuri kwani Maguire ni beki mzoefu.

    Jibu

    Inapendeza sana maana anajua wajib wake akiwa kazin

    Jibu

    Itapendeza zaidi

    Jibu

    Safi tuu

    Jibu

    Beki kisik england

    Jibu

    Anafaa sana, bado yupo fit.

    Jibu

    Jambo jema Maguire bado yupo vizuri sana

    Jibu

    Maguire Ni beki mzuri
    @meridianbettz

    Jibu

    bora arejee aendelee kuitumikia timu ya taifa

    Jibu

    Ni habar njema kwa mashabik wa national timu ya uingereza kwa nahodha wao kurejea kikosin

    Jibu

    Maguire ni mchezaji mzuri hivyo ni msaada mkubwa kwa timu yake ya Taifa

    Jibu

    Itapendez zaid

    Jibu

    Harry Maguire alifanya kitendo cha aibu kupigana,kudharau mamlaka ya Polisi na kutaka kutoa rushwa. Nahisi rufaa yake itakubaliwa kwa sababu Ugiriki siku zote huepuka mambo yatakayoharibu biashara ya Utalii#meridianbettz

    Jibu

    ni Jambo jema

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Karibu tena.pole na matatizo yaliyokupata

    Jibu

    Ni jambo zuri

    Jibu

    Akiludi itakua jambo zuri#Meridianbettz

    Jibu

    Ni jambo njema

    Jibu

    Vizuri Bora alivyo ludi ajekutumikia timu yake ya taifa

    Jibu

    Nafikiri pia alihitaji huu muda wa kupumzika na sasa atakuwa tayari kurejea kwenye klabu yake, kimsingi tutamrudisha mwezi Oktoba.”

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Hi iko POA Sana

    Jibu

    Nic

    Jibu

    Ni sawa tu

    Jibu

    Nafikiri pia alihitaji huu muda wa kupumzika na sasa atakuwa tayari kurejea kwenye klabu yake, kimsingi tutamrudisha mwezi Oktoba.”

    Jibu

    Maguire hatari sana

    Jibu

    Nijambo zuri kwani Maguire ni beki mzoefu.

    Jibu

    Safi sana kikosi kitakua poa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.