Belle Silva Tulitamani Thiago Atue Chelsea

Mke wa Thiago Silva, Belle Silva kuhusu mme wake kujiunga na Chelsea;
“Hatukupata muda wa kushauriana sana, ulikuwa ni uamuzi uliofanyika baada ya fainali ya Klabu bingwa Ulaya, kabla ya fainali Thiago hakutaka kusikia kitu chochote kuhusu kutakiwa na klabu nyengine.”

“Ndoto ya kuishi Uingereza na ndoto ya kutamani kuishi kwenye nchi inayozungumza kiingereza ili tujifunze hii lugha ilikuwa sababu kubwa kwa hii kutimia. Kwa kuwa Thiago ana mpango wa kuendelea kujihusisha na soka ata baada ya kustaafu, chaguo la kujua kuzungumza kiingereza lilikuwa kubwa sana ili limpe nafasi pana ya kujitanua sana hapo baadae. Uamuzi wa kujiunga na Chelsea tuliufanya wote kama familia lakini kiupande fulani aliufanya zaidi kwa manufaa yake.”

“Kila mtu amefurahishwa na huu uamisho. Na ata watoto wanaipenda Chelsea na mara kadhaa wamekuwa wakimuuliza baba yao kama itawezekana ipo siku ajiunge na Chelsea na kwa kuwa kwasasa wameshakuwa na wanaelewa misingi ya soka ni nafasi nzuri kwao.”

“Kwenda kutafuta nyumba ya kuamia kutafanyika hivi karibuni. Tutaenda London na itabidi watoto waache shule ili tuongozane pamoja kwenda kuangalia nyumba nzuri ya kuishi.”

“Sifikirii kama kutakuwa na utofauti mkubwa sana. Hali ya hewa zinafanana labda kikubwa itakuwa marafiki, kwasasa sina marafiki ndani ya London lakini hilo ni swala la muda tu.”


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

37 Komentara

    Habarii nzuri sana hii

    Jibu

    Chelsea ni club salama zaid kapambanie kipaj chako utimize malengo yako

    Jibu

    Thiago piga kazi chelsea mambo yaende!!!

    Jibu

    Thiago Silvia yuko vizuri chelsea imtumie vizuri

    Jibu

    Silva beki makini

    Jibu

    Wana Chelsea wanakuhitaji Thiago, piga kaz

    Jibu

    Chelsea ni club tajiri ivyo kaza mwisho wa cku utaona mafanikio yako

    Jibu

    Thiago ameenda sehemu salama Chelsea ni timu nzuri kwake kuitumikia

    Jibu

    jambo jema thiago kwenda chelsea najua atafanya makubwa zaidi

    Jibu

    Silva Thiago natumain atatuonyesh kitu pale darajan na hatakuwah somo kwa mabek wanAo chipukiah pale darajan

    Jibu

    Ni Fursa nzuri sana kwa Thiago na pia anaongeza jambo kubwa sana kwenye career yake kucheza soka Uingereza.

    Jibu

    Hii iko Vizuri kwa beki Thiago@meridianbettz

    Jibu

    Hbr nzr kwa thiago

    Jibu

    ni Jambo zuri kwa thiago kutua chelsea

    Jibu

    Silva beki mahili

    Jibu

    Beki makini sana

    Jibu

    Chelsea chama kubwaaa

    Jibu

    Thiago kutua Chelsea ni jambo zuri wala hakukosea

    Jibu

    Ni Jambo zuri thiago kutua chelsea#Meridianbettz

    Jibu

    Anajiamini sanaa silva

    Jibu

    Safi kijana kwa umakini wako songa mbele!!

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Chelsea wamempata bonge lamchezaji hanajua jamaa piga Kaz mzee baba

    Jibu

    Nyota huyu alipofika Man United alishindwa kuonesha ubora ule ule aliokuwa nao alikotoa, ambako alichukuliwa kama miuongoni mwa washambuliaji wa kali zaidi wa ligi ya Uingereza. Alikuwa analipwa £390,000 kwa wiki.

    Jibu

    Bali mzuri sana

    Jibu

    Thiago ni mchezaji mzuri Sana

    Jibu

    Karibu Darajani Thiago Silva#meridianbettz

    Jibu

    Habari nzur

    Jibu

    Ongera kwake

    Jibu

    Thiago yuko vizuri sana

    Jibu

    Ni Fursa nzuri sana kwa Thiago na pia anaongeza jambo kubwa sana kwenye career yake kucheza soka Uingereza.

    Jibu

    Ikawaje sasa

    Jibu

    Thiago Silvia yuko vizuri

    Jibu

    Silva amenifurahisha sana kutua Chelsea

    Jibu

    Silva beki kisiki.

    Jibu

    Huyo beki kisiki

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.