Tetesi zinasema Manchester United imewasiliana na washauri wa kiungo mkabaji wa Ufaransa N’Golo Kante kuhusu hatua ya kuondoka Chelsea, lakini makubaliano yoyote na mchezaji huyo, 29, huenda yakapelekea kupunguzwa kwa mshahara wake wa pauni 300,000 kwa wiki.
Tetesi zinasema Lazio huenda ikataka kuwasajili viungo wawili wa Manchester United, Juan Mata, 32, na Mbrazili Andreas Pereira, 24.
Leicester City wanapanga kumsajili beki wa kati wa Torino, 23, Mbrazili Gleison Bremer, ambaye pia anawindwa na klabu ya Everton.

Mshambuliaji wa Bournemouth raia wa Norway Joshua King, 28 anawindwa na Tottenham Hotspur wakati huu ambapo klabu hiyo inataka kumsajili mshambuliaji kabla ya siku ya mwisho ya uhamisho.
Spurs pia wanapiga hesabu za kumsajili Kwa mkopo mshambuliaji wa klabu ya Benfica na timu ya ya Uswizi Haris Seferovic, 28.
Tetesi zinasema Manchester City wanatarajiwa kumuachia beki kinda Eric Garcia, 19, kurejea Barcelona baada ya beki wa Benfica Ruben Dias kukubali kujiunga na Man City.
Tetesi zinasema Paris St-Germain imekuwa ikiwasiliana na Chelsea juu ya kumsajili kwa mkopo kiungo wa Italia, Jorginho, 28.

Tetesi zinasema Aston Villa wametuma maombi ya usajili ya pauni milioni 9 kwa beki wa klabu ya Copenhagen Victor Nelsson, 21.
AC Milan wapo katika mazungumzo na klabu ya Tottenham kuhusu uhamisho wa beki wa kulia wa Ivory Coast Serge Aurier, 27.
Manchester City wamewakaribisha Barcelona kumsajili Oleksandr Zinchenko, 23, ambaye anamudu kucheza kama beki ama winga wa kushoto.

Leicester City wanapanga kumsajili beki wa kati wa Torino, 23, Mbrazili Gleison Bremer, ambaye pia anawindwa na klabu ya Everton.
Barcelona wameachana na mipango ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Inter Milan, Lautaro Martinez, 23.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Tatu
Naona man u wako kwenye jitihada za mwisho kupata saini ya ngolo kante
Dorophina
Man u wanajitahidi kupigania saini ya kante
Antony Luseno
Good updates #meridianbettz
Adelta
Taarifa nzuri za usajiri
magdalena
NAONA UNITED NAO WANATAKA KUMNYEMELEA KANTE
aisha
Duuh kama dili litakaa sawa ngolo atafanya yake hapo manchester united
Theckla
Habari njema
Mariam mtandama
Vizur
Khadija
Habari njema
Lydia Emmanuel Magoti
Man U wasiachia bonge nono la ngolo kante kuweka wino man apo yupo vizuri dogo huyo anajua
Elika
Kante akienda man itakuwa wamefanya jambo jema kusajiliwa huko
Zeiyana
Sizani kama Chelsea wanaweza kumuuza n,golo kante
Mwajumah
Habari njema
Janeflora malisa
Nice
Neema
Usajili uko poa
Fatina mfigi
Nice
Hidaya
Tetesi za soka ni za kuaminika kabisa
Shani
United itakua imekosea kumuuza mata sababu anafufuaga hali ya timu unapokua imepotea
Mwanahamisi
Habari njema
Hopemwaikuka
Habar zote zko vzur
Fatuma kasomo
Asante kwataarifa@meridianbet
Gabriel
Nice update 👍
Povel
Kwny dilisha la usajil mambo ni moto Sana
lombo
asante meridianbet kwa habar moto moto
Samira
Imekaa poa sana
Amiri Kayera
Taalifa nzur za usajir
Theonestina
Habari njema
Issa
Kwa kante man isijisumbue kuna viungo weng united
Sabrina
Usajili umenogaa
Rehema
Good
Saupha mohamed
Usajili upo vizurii
Samiah
Nice
Ester mmakasa
Asante kwa taarifa meridianbet.
Rose kapinga
Iko vizuri
felister
taarifa nzuri za usajili
Latifa juma mohamed
Zilikaa poa.
David Pere
Kwa kante man isijisumbue kuna viungo weng united
Tumaini kasalile
Utakua usajili mzuri