Ruben Dias Atua Manchester City

Baada ya kupokea kichapo cha 5-2 kutoka kwa Leicester City. Katika soko la usajili, Ruben Dias sasa ni rasmi amesajiliwa Manchester City.

Dias ambaye ametokea Benfica, amejiunga na City kwa dau la pauni milioni 62 wakati Nicolas Otamendi akisajiliwa Benfica.

Dias alikuwa nahodha wa Benfica katika mchezo wao dhidi ya Moreirense siku ya jumamosi na alitumia mchezo huo kuwaaga wachezaji wenzake pamoja na mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo – Rui Costa.

“Ulikuwa ni wakati wa kipekee kuwa na Costa, nadhani kila mtu ameshajua kwanini. Kikawaida, watu wanaacha alama zao na klabu pia.

“Bila shaka, ulikuwa ni wakati wa kipekee kwangu. Ninafuraha sana. Nimefurahi kumaliza mchezo kwa ushindi, ni kitu cha kipekee sana kwangu.” amesema Dias

Ujio wa Ruben Dias ni ahueni kwa Pep Guardiola ambaye alikuwa sokoni kumtafuta beki wa kati anayetumia mguu wa kulia. Nafasi ambayo iliachwa wazi na Vicent Kompany.

Otamendi amerejea tena Ureno baada ya kuitumikia FC Porto mwaka 2010-2014. Akiwa na City, amebeba makombe 2 ya EPL, 4 ya EFL Cup, 2 ya Ngao ya Jamii na 1 la FA.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

40 Komentara

    Pep naona kuna mapungufu aliyaona ndo maana ameamua kumsajili Dias

    Jibu

    Dias yuko vizuri sana nawapongeza sana manchester kwa kumpata huyu kijana atafanya mambo mazuri sana

    Jibu

    Ni usajili mzuri sana

    Jibu

    city wameifanya kazi nzuri ya kuinyaka saini ya kijana mahiri kama uyo

    Jibu

    Habari Nzuri kwa Man City kwakupata kiungo mwadirifu anajua

    Jibu

    Usajiri mzuri sana

    Jibu

    Ni jambo jema kwa mancity

    Jibu

    Man City wamepata mchezaji mzuri

    Jibu

    Huu utakua ujia mzuri kwa man Chester city bado wanatakiwa wasajili wachezaji wenye uwezo ili kukamilisha kikosi chao kiwe na ubora

    Jibu

    Ruben dias amepata club nzur man city huko kiwango cha uchezaji kitapanda maladufu

    Jibu

    Ni jambo zuri kwa mancity

    Jibu

    Usajili uko poa sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi kwa kupata kijan mahiri hapo man city!

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Manchester city

    Jibu

    Ni mtu ambae uwezo wake anaweza kutatua tatizo la bek wa kat ambalo lilikuw linamsumbua pep

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Usajili mzuri.

    Jibu

    Huko poa sana

    Jibu

    Kila la kheri uwezo wake tunahufahamu Diaz kitasa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    mapungufu aliyaona ndo maana ameamua kumsajili Dias

    Jibu

    saf

    Jibu

    Naona pep anataka kuimarisha ulinzi zaidi katika timu yake

    Jibu

    Usajir mzur Kwa man city

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Dias ligi ya epl si ya kubeza ni ligi ngimu sana

    Jibu

    Ruben ametua katika klabu nzuri niyeye tu na juhudi zake

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Usajil mzuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Karibu kijana tunakuamini sana.

    Jibu

    Kazi nzuri

    Jibu

    usajili mzuri

    Jibu

    Good

    Jibu

    Nice.

    Jibu

    Dias yuko vizuri sana nawapongeza sana manchester kwa kumpata huyu kijana atafanya mambo mazuri sana

    Jibu

Acha ujumbe