Tetesi zinasema Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wamewasiliana na Brighton juu ya uwezekano wa makubaliano na beki wa kulia Tariq Lamptey, 19.
Ofa ya Manchester United ya pauni milioni 91.3 kwa ajili ya mshambuliaji wa England Jadon Sancho, 20 imekataliwa na Borussia Dortmund.
United inakaribia kufanikiwa kumsajili mshambuliaji wa Barcelona na Ufaransa Ousmane Dembele, 23, – wakiipiga Barcelona jeki kifedha kumsajili mshambuliaji wa Lyon aliyekuwa Manchester United Memphis Depay.

Pep Guardiola anataka kumsajili beki wa kushoto mpya kabla ya dirisha la usajili kufungwa na David Alaba wa Bayern Munich na Austria, pamoja na mchezaji wa Ajax na Argentina Nicolas Tagliafico, wote wakiwa na umri wa miaka 28, wakinyatiwa na Manchester City.
Tetesi zinasema Southampton huenda ikachukua hatua ya kuchelewa kumsajili kiungo wa kati wa Heerenveen Uholanzi Joey Veerman.

Tetesi zinasema Wakala wa Lucas Torreira amefika Madrid kufanya mazungumzo na Atletico Madrid juu ya uwezekano wa kiungo huyo wa kati, 24, raia wa Uruguay kuondoka Arsenal.
tetesi zinasema Chelsea iko tayari kumuuza mlinzi wa Ujerumani Antonio Rudiger na ingawa Tottenham pia inamkodolea macho mchezaji huyo, 27, ingependelea ikiwa angehamia nje ya Uingereza.

Beki wa kulia wa Brazil Thiago Silva, 36, anasema “alikasirishwa” na vile Paris St-Germain ilivyoshughulikia kuondoka kwake, na hata ikiwa mabingwa hao wa Ufaransa waliomuongezea mkataba wa mwaka mmoja muda ulikuwa umekwenda kwasababu tayari alikuwa amekubali kujiunga na Chelsea.
Ofa ya West Ham ya mkopo kwa beki wa kulia Vladimir Coufal, 28, wa timu ya Slavia Prague ya Jamhuri ya Czech imekataliwa.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


magdalena
united waachane tu na mambo ya kumchukua sancho ni ngumu sana dortmund kumuachia kirahisi ndo kwanza wanamuongezea mkataba wa mwaka mwingine
Elika
Kiukweli Dortmund kumuachia Sancho kirahisi kitu ambacho hakiwezekan
Mwajumah
Dortmund kumuacha sancho sio kitu rahisi united wao waachane nae tu
Adelta
United wajipange upya kumchukuwa Sancho wasahau
Sauda
Dotmund macho yote kwa Sancho, subiri tuone nini kitaendelea..
Nasra
Dortmund kumekucha
Fatina mfigi
Asanteh kwa taarifa meridianbet
Zeiyana
Man Chester united wanatakiwa wasajili wachezaji wenye uwezo mkubwa sana ili kuimarisha kikosi chao na sio kuangaika na sain ya Sancho
Venerose
Sancho bado ana mchango mkubwa kwenye klabu yake
Mwanahamisi
Habari njema
Caroline
Asante kwa taarifa
Dorophina
Man u wakubali kushindwa tu sancho sio wao tena kwanza Dortmund wamesha mrudisha klabuni kwa mwaka mmoja
Latifa juma mohamed
Asante kwa taarifa.
Antony Luseno
Nice update #meridianbettz
Antony Luseno
Nice update #meridianbettz
Hopemwaikuka
Imeeleweka hii
Johnmary joel
Ziko vizuri#meridianbett
aisha
Taarifa nzuri za usajir
Khadija
Habari njema
Angelina
Goodupdate
Saupha mohamed
Habari njema
Gabriel
Nice update 👍
Fatuma kasomo
Gud news
Issa
Dortmund ni kama wameibania tu united kwa sancho
Sadick
nashangaa Tariq Lamptey kuhitajika na Bayern wakati Chelsea ilimuuza kwa bei ya kutupa kabisa#meridianbettz
Amiri Kayera
Man u waachane na sancho
Sabrina
Man city wafanye kweli wachukue vijana hao wapo vizuri
Rehema
Nice
felister
naona man u bado hataki kukata tamaa juu ya sancho
Lydia Emmanuel Magoti
Nimehirewa hii
Tatu
Naona man u ina kiherehere ya kumchua sancho
Ernest
Barca wanahitaji foward na Depay ndio mchezaji sahihi kuziba pengo la Suarez baada ya kufeli kwa Martinez
David Pere
United inakaribia kufanikiwa kumsajili mshambuliaji wa Barcelona na Ufaransa Ousmane Dembele, 23, – wakiipiga Barcelona jeki kifedha kumsajili mshambuliaji wa Lyon aliyekuwa Manchester United Memphis Depay
Povel
Nice information
Samiah
Nice