PSG: Mashaka Kuelekea Mchezo wa Ligi na Uefa

Wakati michezo ya ligi mbalimbali ikirudi wikiendi hii. PSG wanamashaka na kikosi chao kufuati idadi ya majeruhi kuongezeka.

PSG watakuwa uwanjani kesho (Ijumaa) kupambana na Nimes katika muendelezo wa Ligue 1 kabla ya kuwakaribisha Man United mapema Jumanne wiki ijayo ikiwa ni mchezo wa kwanza wa UEFA msimu huu.

Thomas Tuchel anapata kigugumizi kwa idadi ya wachezaji ambao anadhani wapo tayari kuipeperusha bendera ya Paris Saint Garmain katika michezo hiyo. Mpaka sasa, majeruhi, mechi za kimataifa na utaratibu mpya wa kujilinda na COVID19.Ni vikwazo kwa Tuchel.

Akizungumza na vyombo vya habari kuelekea mchezo wa kesho, kocha wa PSG – Thomas Tuchel amesema, “Draxler, Verratti na Marquinhos hawatocheza dhidi ya Nimes na pia ninamashaka juu ya uwepo wao kwenye mchezo dhidi ya Man United.

Herrera alipata COVID19. Danillo alikuwa na Cristiano Ronaldo hivyo hawezi kujiunga na sisi kwa sasa.

Kehrer bado ni majeruhi na ataendelea kuwa nje kwa wiki chache zijazo.Bernat pia hayupo na sasa Icardi pia aliumia kwenye mazoezi na hatokuepo kwenye mchezo dhidi ya Nimes na Man United.

“Tunahitaji kikosi cha wachezaji wenye kujiamini zaidi. Katika mchezo wa kesho, tunataka kushambulia zaidi na kuzuia kufungwa magoli mengi. Tunatakiwa kuwa tayari kwa ajili ya Manchester United.

“Kwa upande mwingine, tunatakiwa kuwamakini na wachezaji waliorejea kutoka kwenye michezo ya kimataifa kama Mbappe na Neymar. Labda tutakuwa na wachezaji 11,12 au 13.”


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

25 Komentara

    kikubwa ni kujituma na kufanya mazoezi zaidi kwa kufanya ivyo mtafanya vizuri psg

    Jibu

    Ni mtihani mkubwa Sana kwao maana haielewski Kama itawezekana au laa

    Jibu

    Vzr wajipange kwa bidii

    Jibu

    Kikubwa ni kuongeza juhudi

    Jibu

    psg wanawakati mgumu sana

    Jibu

    Naona wafanye juhudi na kuimarisha upya vikosi

    Jibu

    Never give up

    Jibu

    P.S G poleni sana.mna majeruhi wengi sijui itakuaje gemu inayofatia

    Jibu

    hakuna kukata tamaa kikubwa kupambana na kusonga mbele zaidi bila kuangalia nyuma

    Jibu

    Mazoezi muhimu

    Jibu

    Muhimu kupambambana

    Jibu

    Psg wanawakati mgumu sana

    Jibu

    Kikubwa kupamban tu wasikate tamaa matokeo yatakuwa mazur

    Jibu

    PSG game nawaona inawapa changamoto za kutafakali itakuwaje Kama kuiletea huoga

    Jibu

    Nice update #meridianbettz

    Jibu

    Kweli ni changamoto kubwa kwa PSG kutokana na list la wagonjwa lakini hawana budi kupambana bado wana kikosi kipana

    Jibu

    Psg wana wachezaji wakubwa wazuri tu ila awajiani bado

    Jibu

    Psg wanamtihani mkubwa sana cha msingi wasikate tamaa

    Jibu

    PSG wajipange sana

    Jibu

    Kikubwa kupamban t

    Jibu

    Changamoto kubwa sana inabid wapambane tu hapo

    Jibu

    Wakaze tu

    Jibu

    Psg inabid watafute mbinu mbadala

    Jibu

    Psg wakaze kweli kweli

    Jibu

    Wasikate tamaa

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.