“Nilipokuwa nakaribia kusaini Chelsea, (Lampard) alinitumia picha tukiwa tunapeana mikono wakati tulipokuwa manahodha kwenye mechi ya kirafiki kati ya Uingereza na Brazil pale Maracana. Alinishangaza sana kwasababu sikuwa nikiikumbuka kabisa ile mechi.”
“Nina furaha maana naona anafurahishwa na kazi yangu. Nina imani nitapambana kwa kila kuhakikisha ninaisaidia Chelsea, ni jambo zuri kuongozwa na mchezaji nilicheza dhidi yake lakini pia alikuwa mchezaji mkubwa sana na alikuwa moja kati ya viungo bora sana duniani. Kwangu najivunia kuwa pamoja naye na kubadilishana nae mawazo tukiwa kama kocha na mchezaji.”
“Nina furaha kwa kuanza vizuri kwenye ligi kuu Uingereza lakini pia kuwa na kiwango kinachoshawishi na kuvutia lakini pia kuendelea kuitwa kwenye timu ya taifa (Brazil). Uwezo na kiwango changu uwanjani ndicho kitu pekee kinaweza kunifanya niendelee kuitwa kwenye timu ya taifa.”
“Kwasasa tumejipanga sana kwenye michezo ya kufuzu ili tuweze kushiriki Kombe la Dunia, na labda tutaangalia hapo baadae kama nitaweza kuisaidia timu huko.”
“Kuna watu wangu ambao tumekuwa pamoja kwa miaka kama sio pungufu ya miaka miwili basi zaidi ya miaka miwili, wao wamekuwa wakinishauri nile nini na kwa wakati gani. Hapo mwanzoni nilikuwa nakula vitu ovyo ovyo tu bila kufata utaratibu, nilikuwa naweza kula kabla au baada ya mchezo na wote tunajua kwa soka la kiwango kikubwa unatakiwa kuwa makini kwa kila unachokula na unachofanya.”
Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!



Fatuma kasomo
Gud news
magdalena
thiago ameshindwa kupata furaha sababu lampard sheria zake hazieleweki kabisa
Dorophina
Lampard anamkubali sana Thiago silva kwa kiwango chake
Elika
Habar njema hiyo
Fatina mfingi
Ni vizur kam m2 upo sehemu moyo wako unahaman
Adelta
Good
Khadija
Goodnew
Mwajumah
Habari njema iyo
Carolyn
Safi sanaaa
Tatu
Thiago amefurahi kuamia chelsea kukutana na kocha anayempenda lampard
Angelina
Goodnews
Lydia Emmanuel Magoti
Safii Sana Thiago anacho kiongea kipo sahii
Saupha mohamed
Good news
Sabrina
Lampad baba lao anajua anachokifanya
Janeflora malisa
Asnt kwa taarif meridianbet
Rahma
Safiii
Povel
Nice information