Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Chelsea imejiunga katika kinyang’anyiro cha kumsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland, 20.

Matumaini ya Manchester United katika kumsajili Halaand huenda yakadhoofishwa kutokana na uhusiano wake na wakala Mino Raiola, ikimaanisha kwamba mshambuliji wa Everton Dominic Calvert-Lewin, 23, huenda akawa mbadala wa kikosi cha Ole Gunnar Solskjaer.

Tetesi zinasema Paris St-Germain inamnyatia Rudiger, huku beki huyo akipata tatizo la kujiunga na kikosi cha kwanza katika klabu ya Stamford Bridge.

 

Liverpool ina hamu ya kumsajili beki wa Real Madrid na Eder Militao, 22, huku mchezaji huru wa Argentina Ezequiel Garay, 34, akitarajiwa kujiunga na klabu ya Jurgen Klopp.

Mikael Arteta na Arsenal wanataka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid na Brazil Vinicius Jr, 20, kwa mkopo mwezi Januari , lakini wameamua kumsajili mchezaji mwenza na kiungo wa kati wa Uhispania Isco, 28, ambaye anatarajiwa kujiunga na Juventus.

Tetesi zinasema Barcelona imeanza mazungumzo na beki wa Arsenal na Ujerumani Shkodran Mustafi, 28, ya uhamisho wa bila malipo wakati kandarasi yake itakapokamilika mwisho wa msimu.

Mkufunzi wa klabu ya Derby county Wayne Rooney anataka kumsajili mchezaji wa Man United na England Phil Jones, 28, kuwa mchezaji wake wa kwanza kumsajili katika timu hiyo ijapokua Rams huenda ikakabiliwa na ushindani kutoka kwa West Brom na Burnley.

Tetesi zinasema Everton na Wolves wanatarajiwa kukabiliana na AC Milan katika kumsajili beki wa Strasbourg na Ufaransa Mohamed Simakan, 20, ambaye anapatikana kwa dau la £20 million.

 

Karius Ajiunga na Union Berlin ya Ujerumani.

Kipa Loris Karius, 27, huenda akarudi katika klabu yake ya Liverpool, baada ya Union Berlin kufikiria kusitisha kandarasi yake mapema huku mchezaji hyo wa Ujerumani akichezeshwa mara moja tangu kuanza kwa msimu.

Barcelona inajaribu kumsajili kiungo wa kati wa Uhispania Ruqui Puig kutia saini kandarsi mpya , lakini Manchester City na Bayern Munich zote zinamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

16 Komentara

    Loris Karius anatakiwa aachane na Soka kabisa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Afanye mambo mengine

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridian bert

    Jibu

    Shukrani kwa taalifa

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Imekaa poa

    Jibu

    Haalad akienda man u ndo poa

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Goodupdstte

    Jibu

    Man U kila wakikaribia kupata mchezaji mzuri inatokea vikwazo

    Jibu

    Kila penye zuri baya lipo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.