Nyota wa Houston Rockets James Harden alitozwa faini ya $ 50,000 lakini alikwepa adhabu ya kufungiwa kwa kukiuka taratibu zilizo wekwa na NBA za kiafya na usalama.

Mchezo wa Rockets dhidi ya Oklahoma City Thunder, uliyopangwa kucheza siku ya Jumatano, uliahirishwa baada ya wachezaji watatu wa Houston kukutwa na maambukizi ya coronavirus.
Harden, ambaye ameripotiwa kuomba kuondoka, pia hakuepo baada ya kuhudhuria sherehe ya kibinafsi ya ndani siku ya Jumatatu.
NBA ilithibitisha siku ya Jumatano kwamba mchezaji huyo wa All-Star mara nane alikuwa amepigwa faini, lakini alipona kusimamishwa kucheza.
Taaraifa ilisomeka:
“Mlinzi wa Houston Rockets, James Harden ametozwa faini ya $ 50,000 kwa kukiuka taratibu za ligi za kiafya na usalama ambayo pamoja na mambo mengine inakataza kuhudhuria mikusanyiko ya ndani ya watu 15 au zaidi au kuingia kwenye baa, lounges, vilabu au vituo kama hivyo, ilitangazwa leo na Byron Spruell.
“Harden alikiuka sheria hizi wakati alipohudhuria hafla ya kibinafsi ya ndani Jumatatu, Desemba 21.”
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???



Adelta
Anastahili awajibike kulipa faini
Ernest Kimeru
Hii salamu kwa uongozi wake huenda James Harden ameshapata deal nono kwenye timu nyingine
farida ahmad
Pole Sana James harden
Saupha mohamed
Hukumu hiyo anastahili
Rahmal
Pole sana
Shakila mrope
Safi san ni ukosefu wa utovu wa nidham
Fatuma kasomo
Anastahili
Caroline
Iwe funzo kwa wengine
Lydia Emmanuel Magoti
Iwefunzo nakwawengine
Issa
Fundisho tosha
Hopemwaikuka
Majanga
Tatu
Pole yake
Sarah
Safi sana iwe fundisho kwawengine
warda
Pole yake