Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amekiri kuwa anafikiria swala la kustaafu mapema na anatarajia kukaa kwenye usimamizi kwa muda mrefu zaidi ya vile alivyotarajia awali.
Guardiola, ambaye anatimiza umri wa miaka 50 mwezi huu, awali alisema hakutarajia kudumu katika nafasi ya umeneja kwa muda mrefu kwakuwa ana malengo mengine anayohitaji kuyatimiza katika maisha yake.

Lakini, baada ya hivi karibuni kuongeza mkataba Uwanjani Etihad hadi msimu wa joto wa 2023, Guardiola sasa anakubali bado anahisi kustaafu ni mbali sana.
“Hapo awali, nilifikiri nitastaafu hivi karibuni. Sasa nadhani nitastaafu bado zaidi. Kwa hivyo, sijui.”
“Uzoefu hukusaidia, hasa jinsi ninavyoishi katika taaluma yangu,” alisema Pep, ambaye ameshinda mataji makubwa 29 katika kazi bora ya usimamizi ambayo pia inajumuisha kipindi alichosimamia Barcelona na Bayern Munich.
“Sasa ni mara ya kwanza ninapoona kwenye Ligi Kuu, timu moja inaweza kupoteza au kushinda saba, na baada ya sare, na baada ya kupoteza. Matokeo hayatabiriki.” aliongeza kocha huyo.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?



Angelina
Maamuzi ni yake umri unaruhusu
Shakila mrope
Maamuzi yake ni sahihi
Caroline
Mbona anastaafu bado mapema.mashabiki zako bado tunakuhitaji
Sabrina
Sio mbaya hayo ni maamuzi yake
felister
maamuzi mazuri
Adelta
Ni vyema kwa sababu ameamua mwenyewe
Fatuma kasomo
Maamuzi mazuri
Chiku
Yupo sahihi
Dorophina
Umri umeenda akistaafu ni sawa tu
Mwanahamisi
Yuko sahihi
Neema juma
Anachosema ni sahihii
Saupha mohamed
Maamuzi mazuri
Devotha
Bado mapema anatakiwa astaafu akifikia umri wa wenga
Hopemwaikuka
Not bad
Lydia Emmanuel Magoti
Mbona mapema lakini vizuri kilamtu anamamuzi yake kwenye kichwa chake uwez kumpangia mtuu
Magdalena
Atulie kwanza bado anahitajika
warda
Wenyewe tunasema bado yupo yupo sana
Ernest Kimeru
Huenda ikawa sio jambo zuri kwa hivi karibuni sababu bado ananafasi ya kuweka rekodi zaidi
Sania
Bado tunamuhitaji atulie kwanza
Issa
Hauna mbinu