Pengine huu ukawa na msimu mzuri kwa Tottenham Hotspurs wakiwa na Jose Mourinho. Ushindi dhidi ya Brentford umewavusha hatua ya nusu fainali.
Spurs ametinga hatua ya fainali ya mashindano ya Carabao Cup baada ya kuwatungua Brentford magoli 2-0. Moussa Sissoko na Son Hueng-Min katika kipindi cha kwanza na pili, yaliwatosha Tottenham kujihakikishia nafasi ya kucheza Wembley mwezi Aprili,2021.
Spurs hawanakombe lolote tangu walipobeba kombe la Carabao Cup mwaka 2008, kocha wao – Jose Mourinho ameshabeba kombe hili mara 4 na 2017 alibeba taji hili alipokuwa na kikosi cha Manchester United.

Vipi msimu huu, Tottenham ataondoa ukame wa kubeba mataji??
Tottenham wanamsubiri mshindi wa Manchester derby katika mchezo mwingine wa nusu fainali. Man United na Man City wanakutana tena kwa mara nyingine msimu huu katika hatua ya nusu fainali ya Carabao Cup.
Msimu uliopita City alishinda kwa matokeo ya jumla (3-2) na kucheza fainali ambapo pia aliibuka kidedea kwa kuwafunga Aston Villa. Hali itakuaje msimu huu?
Ndio, kwetu Mteja ni mfalme. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet bila malipo yeyote na sisi tutakuzawadia bonasi ya shilingi 3,500 kama sehemu ya kukukaribisha kwenye familia hii BURE! Unasubiri nini?



Magdalena
Safi sana spurs wamekuja na moto wa hatari
Adelta
Spurs cup wameanza vizuri hongera yao
Dorophina
Pongezi kwao spurs
Hopemwaikuka
Congratulations spurs
Saupha mohamed
Hongera yao
Khadija
Hongera sana
Rahmal
Pongezi kwao sana
Sarah
Ongera yao
Caroline
Safii
Mwanahamisi
Pongezi kwao
Janeflora malisa
Pongez
Latifa juma mohamed
Pongez kwao
felister
pongezi nyingi sn ziwafikie
Samira
Hongera nyingi kwake wajipange sasa kukutana na man city
Lydia Emmanuel Magoti
Hongera yao
Shakila mrope
Pongezi kwao
Gabriel
Safi sana spurs
warda
Hongera yao
Sania
Safi sana
Tatu
Safi
Sabrina
Hongera sana spurs
Neema juma
Pongezi kwao
Issa
Itakua fainali ya kisasi