Mambo yanazidi kunoga kunako ligi soka nchini Hispania. Vijana wa Catalunya – Barcelona FC wametinga fainali ya Spanish Super Cup kwa ushindi dhidi ya Real Sociedad.
Barca anafuzu hatua ya fainali ya Spanish Super Cup baada ya kuwafunga Real Sociedad kwa mikwaju ya penati jana usiku baada ya dakika 120 kumalizika kwa matokeo ya 1-1.
Baada ya Antoine Griezmann na Frenkie De Jong kukosa penati zao, ni Riqui Puig aliyewapeleka Barca fainali kwa kupiga penati ya mwisho na iliyowapa ushindi vijana wa Ronard Koeman. Golikipa – Marc-Andre ter Stegen liokoa mikwaju miwili ya penati za Sociedad.

Barcelona sasa wanamsubiri bingwa wa mchezo kati ya mabingwa watetezi – Real Madrid dhidi ya Athletic Bilbao. Mchezo wa fainali utachezwa Jumapili hii.
MERIDIANBET INAKUPA NAFASI YA KUWA MILIONEA KWA KILA BAADA YA DAKIKA 5
Mchezo wa Keno unakupatia fursa ya kuibuka kidedea kupitia droo zinazochezwa kila baada ya dakika 5 tu!! Tunaposema Meridianbet ni nyumba ya mabingwa, tunamaanisha!!



Shakila mrope
Habari njema
Sania
Safi
Sadick
Hongera kwao. Kocha anataka kombe lolote kutengeneza CV yake kwamba alishinda hiki ama kile akiwa Kocha wa Barceona
Caroline
Mambo. Yanazidi kunoga
Rahmal
Mambo yanazidi kutaladadi
Magdalena
Barca wajipaange sana
Ernest Kimeru
Barca tia maji tia maji sana
Dorophina
Mechi hiyo inaonekana barca wamepania sana wataweza kweli
Saupha mohamed
Barca wajipange
Mwanahamisi
Safi
Issa
Barca safari imewadia
Angelina
Saf
Lydia Emmanuel Magoti
Ngoja tuone hapo
felister
mambo mazuri
Hopemwaikuka
Jambo jema
Sarah
Safi
warda
wamepita kiubishi sana