Manchester City wamtaka Haaland na Grealish
Pep Guardiola anaweza kufufua mashambulizi yake kufuatia kuondoka kwa mshambuliaji Sergio Aguero.

Manchester City wamejiandaa kufanya kila inavyotakiwa kuwapata duo ya Erling Haaland na Jack Grealish, hata kama ada yao ya pamoja itafikia nambari tatu, inadai Daily Mail.

Haaland, 20, atatoka Borussia Dortmund tayari nyota mwenye matarajio makubwa kadri siku zinavyozidi kwenda, wakati Grealish, 25, atawasili kutoka Aston Villa akiwa bado chipukizi.
UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.
Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?



Venerose
Hilo linawezekana
Hopemwaikuka
Wanafaa
dorophina
City wasilembe vijana wanafanya kazi
Samira
Wote wapo vizuri
Lydia Emmanuel Magoti
Wote wapo vizuri
Sarah
Wote wapo vizuri
warda
Kumbe ndo maana wanamtaka Haaland wapate nguvu