Mchezaji wa zamani wa Manchester United Michael Owen ameibuka na kutabiri kwamba Liverpool itapata ushindi wa 2-1 katika mechi yake ya mkondo wa pili wa robo fainali dhidi ya Real Madrid.
Liverpool watakutana na Real Madrid usiku wa leo pale Anfield, na watalazimika kupata ushindi wa 2-0 ili waweze kujishindia nafasi ya kwenda nusu fainali. Owen anaamini kwamba kutokana na uwezo wa Liverpool wanapokuwa nyumbani basi leo anaweza kushinda kama alivyofanya nyuma.
Liverpool wamekuwa na wakati mgumu wakiwa nyumbani msimu huu, japo hilo halijaonekana katika UEFA. Katika mchezo wa mkondo wa kwanza, Liverpool alifunga goli 3-1, huku goli lao pekee likifungwa na Mohamed Salah.
Liverpool wanaaminika kufanya mapinduzi makubwa katika mechi za marudio, wakikumbukwa kufanya hivyo katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali dhidi ya Barcelona ambapo walipindua matokeo ya 3-0 kwa kushinda 4-0 pale Anfield.
Katika mahojiano rasmi, Owen alisema “Liverpool wamekuwa wakifanya makubwa sana Anfield….japokuwa na imani watashinda lakini wataenda zaidi mpaka kwa 2-1”
Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.



Venerose
Real Madrid wapo vinzuri sidhani kama liverpool wataweza kuwafunga
Adelta
Mashabiki tunasubiri tuone maajabu ndani ya dakika90
Sarah
Sawaa tunasubiri tuone
warda
Mtabili kama onyango