EPL: Sheffield OUT, Norwich City IN

Timu ya Sheffield United iliyokuwa ikishika mkia wa EPL, hatimaye wameshuka rasmi kwenda kwenye daraka la kwanza. Timu hiyo imekutwa na kadhia hiyo baada ya kufungwa goli 1-0 dhidi ya Wolves.

Katika mchezo uliopigwa hapo jana, Sheffield walitawala mpira kwa kiwango kikubwa lakini hawakuweza kushinda mechi hiyo. Willian Jose alikuwa shujaa wa mechi hiyo baada ya kufunga goli dakika ya 59. Bao hilo pekee lilidumu mpaka mwisho wa mchezo.

The Blades wameshuka daraja wakiwa na alama 14 tu licha ya kucheza mechi 32. Hii ina maana kwamba hata kama wakishinda mechi zote zilizobaki bado hawatoweza kusalia EPL.

Wakati Sheffield United wakiporomoka daraja, kule daraja la kwanza timu ya Norwich City imefanikiwa kupanda EPL baada ya kushushwa mwaka jana. Norwich wana alama 90 wakiwa wamecheza mechi 42. Licha ya kupoteza mechi yao ya Jana dhidi ya Bournemouth, bado wamejinyakulia nafasi ya kurejea Ligi kuu England.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

CHEZA HAPA

4 Komentara

    EPL mambo yanazidi kunoga

    Jibu

    Poleni sana Sheffeld

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.