Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha Daily Express inadaiwa kwamba meneja wa Manchester United, Jose Mourinho ana hofu juu ya ushindani wa malipo ya kifedha kwenye usajili ujao wa moja ya nyota ambao anawafukuzia sana wajiunge naye Old Trafford!
Ugumu upo wapi?
Huu ni usajili wa mchezaji Gareth Bale wa Wales na utata unatokana na bei yake ambapo Real Madrid wanasemekana kuwa wanataka kumpiga bei kwa dau la paundi milioni 200. Bale anacheza nafasi ya mshambuliaji na ana umri wa miaka 28 sasa. Tusubiri kuona ambavyo itakuwa kuhusiana na usajili wake.



Mariam mtandama
Asante meridianbet kwa taarifa
Furahav
Hii habari nzuri sana
Povel
Habar njema
Hope mwaikuka
Axante kwa habar