Vyanzo kadHaa vya habari vinasema kuwa Mashetani Wekundu wamepeleka maombi yenye thamani ya euro milioni 96 kwa moja ya klabu kubwa maarufu za huko Italia, Serie A.
Ombi lao ni juu ya kumnunua msakata kabumbu wa klabu ya Lazio ambaye anakipiga safu ya kati Sergej Milinkovic-Savic. Huyu ni raia wa Serbia akiwa na umri wa miaka 23 kwa sasa.


Furahav
Aje tu man u ill aweze kuzibiti sehemu ya kati.
Hope mwaikuka
Yy tu