Wolverhampton Amemkazia Man City

Gemu imeisha kwa sare ya 1-1. Wolves amekutana na Man City leo akiwa na mzimu wa kichapo 2-0 kutoka kwa Leicester huku akitoa sare na Everton akikutana na mbabe aliyewachapa Huddersfield goli 6-1 na Arsenal 2-0. Gemu ilikuwa nzito wakati Man City akianza kumiliki mprira kwa asilimia kubwa lakini akashashindwa kufanya mashambulizi yenye matunda hadi aliposhtuliwa na goli la kwanza.

Angalia chati ya kilichotokea ;

Wafungaji 

Willy Boly (57′)- Wolverhampton Wanderers

Aymeric Laporte (69′) – Manchester City

Umiliki wa mpira

29% –Wolverhampton Wanderers
 71% – Manchester City

Mashuti Golini

11 (2) – Wolverhampton Wanderers 
18 (6) – Manchester City
 WOLV City
13  Mipira ya adhabu 8
1   Kadi za njano 2
0   Kadi nyekundu 0
4   Ofsaidi 3
5    Kona 9
5    Mipira iliyookolewa 1

2 Komentara

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.