Sane Apata Mtoto, ni Baada ya Kusepa Kikosini

Winga wa Man City Leroy Sane ametangaza kupata mtoto wa kike ikiwa ni siku moja baada ya kuondoka katika kikosi cha timu ya ya taifa ya Ujerumani. Staa huyu aliripotiwa  kuondoka jana katika hoteli za ya timu ya taifa ya Ujerumani kwa sababu zake binafsi, sababu hiyo ilikuwa ni mkewe aliyekuwa mjamzito.

Taarifa zilidai kuwa sane hatakuwepo katika mechi ya kirafiki dhidi ya Peru jumapili hii baada ya mazungumzo na kocha mkuu Joachim Low.

Sane ametoa taarifa ya shukrani kwa timu yake ya taifa kwa kumruhusu kuondoka wakati wakijiandaa kupambana na Peru, wakati huo ametoa taarifa pia ya kupata mtoto wa kike jana usiku, ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wake wa Twitter. anasema “Ninafurahi kuwataarifu kuzaliwa kwa mwanangu wa kike jana usiku, mtoto na mama wanaendelea vizuri”.

2 Komentara

    Safi sana kwa sane kupata mtoto

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.