Hatma ya Gadiel Mikononi mwa Gomes

Beki wa kushoto wa kikosi cha Simba, Gadiel Michael nafasi yake ya kubaki katika kikosi hicho kwa sasa ipo mikononi mwa Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa.

gomes

Habari zimeeleza kuwa nyota huyo ambaye aliibuka ndani ya Simba akitokea Yanga hana nafasi kikosi cha kwanza jambo ambalo linafanya maisha yake kuwa tofauti na zama zile alipokuwa ndani ya Yanga.

“Nafasi kwa Gadiel inazidi kuwa finyu kikosi cha kwanza jambo ambalo linafanya ashindwe kuanza kikosi cha kwanza na wakati mwingine hata benchi amekuwa akikosekana.

“Jambo jingine ni ushindani wa namba kwa sasa ndani ya Simba ni mkubwa hivyo kuanza kwake na kubaki kwake msimu ujao inategemea maamuzi ya mwalimu mwenyewe,” ilieleza taarifa hiyo.

gomes

 

Gomes hivi karibuni aliweka wazi kwamba yule ambaye anaanza kikosi cha kwanza ni mchezaji ambaye atafanya vizuri mazoezini kwa kuwa kuna wachezaji wengi wenye ubora ndani ya Simba.

Baada ya kumalizana na Ruvu Shooting, Mwanza, Juni 3, leo Juni 4 kikosi kimerejea Dar.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 Komentara

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Taarifa kuntu…

    Jibu

    Gadiel kasi yake inaonekana kupungua sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.