Ronaldo Aongoza Rekodi ya Mastaa Instagram.

 

Baada ya Nyota wa Juventus, na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo Cristiano kufikisha Wafuasi (Followers) Milioni 300 katika mtandao wa Instagram siku ya jana kwa sasa yeye ndiye binadamu pekee mwenye Followers wengi zaidi katika mtandao huo.

 

Hii ndiyo Top 10 ya watu wenye wafuasi (Followers) wengi zaidi katika mtandao wa Instagram.

1. Cristiano Ronaldo : 301M
2. The Rock : 247M
3. Ariana Grande : 244M
4. Kylie Jenner : 241M
5. Selena Gomez : 238M
6. Kim Kardashian : 229M
7. Leo Messi : 219M
8. Beyonce : 186M
9. Justin Bieber : 178M
10. Kendall Jenner : 170M


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.