Ripoti kutoka jarida la Sky Sport Germany, klabu ya Liverpool ya Uingereza yataka kupata saini ya kinda wa kiholanzi Donyell Malen ili kuboresha eneo lao la ushambulizi kuelekea msimu wa 2021/2022.
Jarida hilo la Ujerumani limeeleza kuwa Liverpool inataka kuboresha eneo la ushambuliaji ili kujihakikisha kuwania ubingwa wa EPL msimu ujao.
Nyota wa PSV Donyell Malen alikuwa miongoni mwa wafungaji bora msimu uliopita akitupia magoli 19 na kutoa pasi 8 za magoli katika Bundesliga msimu uliopita.
Malen ana miaka 22 tu na amejiunga na PSV mwaka 2017 na toka hapo ametupia mara 55 katika mechi 116 alizocheza akiwa na jezi ya PSV.
Katika michuano ya Euro 2020, Walen alifanikiwa kufunga kutoa asisti kwa Memphis Depay ambaye alifunga goli katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Marcedonia.
Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao.


